Posts

Showing posts with the label vichekesho

Vichekesho 10 Vinavyochekesha Mpaka Mbavu Ziume

Image
Kama unataka kuwa mwenye afya bora, basi hakikisha unacheka , siku inayopita ikiwa na vicheko ndani yake ni siku bora mno.Kucheka ni jambo muhimu katika maisha. Kucheka huongeza kinga katika mwili wako, husaidia mwili kutoa homoni ya furaha aina ya ‘endorphins’, kucheka hulinda moyo, husaidia katika mmeng’enyo wa chakula, hupunguza hasira na kucheka kunaweza kuongeza hata siku zako za kuishi. Leo tunakuletea vichekesho 10, ambavyo ni lazima vikufanye ucheke, ufurahi na uwe mwenye afya bora. 1.  Nilikuwa na mjomba yangu, yeye alikuwa akiniambia nisiogope kitu kwa sababu ni askari . Siku moja nilikamatwa, nikampigia simu kumuita, alipofika, nikamwambia awaambie askari wenzake waniachie. Mjomba akanijibu kwa sauti ya upole, “Mjomba sina uwezo, mimi siyo askari polisi, mimi ni askari wa jeshi la wokovu kanisani kwetu, labda nikufanyie maombi.” 2.  Mlio kwenye mahusiano, mkiambiwa ‘take care’ na wapenzi wenu huwa mnajibuje? Msaada tafadhali. 3.  Nimeshuhudia mjomba akianguka k...

Vichekesho vya Kuchekesha na Kuvunja Mbavu 2

Image
1. Chomoa hela kidogo kwenye ada ya mwanao kisha kunywa bia. Elimu haina mwisho. 2. Mtu unamdai halafu anakujibu kwa kiingereza . 3. Kuna mwizi amekamatwa hapa amepewa kipigo. Anaulizwa ataje mwenzake anaanza kuniangalia mimi, nimempiga bonge la kofi. 4. kukosa hela vibaya sana, hata ndoto unazoota zinakuwa hazikuheshimu. Mimi kweli ni wa kuota nakimbizwa na Kinyonga! 5. Nilikuwa siamini kama kila kitu kinawezekana hapa Duniani mpaka siku nilipoota nakimbizwa na konokono. 6. Usikate tamaa kwa sababu kakuambia ana mtu wake. Watu hufariki. 7. Mjomba katoka kijijini, nipo naye katika mgahawa, naagiza chipsi kavu kwa ajili yake na mimi, chipsi zinaletwa. Baada ya kula mara tatu mjomba anavunja ukimya. “Mjomba,” mjomba ananiita. “Naam,” naitika nikila chipsi zangu. “Uliagiza chipsi kavu?” “Ndiyo.” “Sasa kwa nini zina mafuta mafuta? Nilitumia dakika tisini kumuelewesha. 8. Nilialikwa na jamaa kula chakula cha mchana nyumbani kwake. Nilipofika nikakutana na watu weng...

Vichekesho vya Kuchekesha na Kuvunja Mbavu 1

Image
1. Kukosa hela ni vibaya sana, unaweza kukutana na ng’ombe ukahisi wanakusema. 2. Kama huna gari , huna nyumba, huna simu na huna hela, tofauti yako na kenge ni mkia. 3. Siyo kila anayeamka saa sita mchana ni tajiri, wengine wanapunguza saa za kuteseka. 4. Mtu mmoja aliota anaendesha gari, ikakwama kwenye matope, akaanza kuisukuma. Alipoamka, akajikuta yupo na kitanda jikoni. 5. Maisha ni ya ajabu sana, unakuta mtu hajaoa lakini chumba anachoishi kuna panya wana familia zao na yeye ndiyo anawalisha. 6. Ukiwa ugenini usinyamaze sana. Wenyeji wanaweza wakadhani unafikiria kuwaua. 7. Kila mtu anauogopa usiku. Kichaa mmoja alisikika akisema, “Usiku umeingia waniroge tena.” 8. Pombe mbaya, nimekutana na mlevi anatafuta wanawake wembamba atengeneze fagio. 9. Niliwahi kupanda basi, dereva analalamika njia nzima, “Nimefanya kazi miaka mingi, mafanikio hakuna. Sasa leo mwisho.” Abiria wakaanza kuomba kushuka mmojammoja. 10. Mchana hupati hela, usiku hupati usingizi. Kwa kifupi h...

Vichekesho Haviishi Miaka Yote, Soma Hivi Vipya

Image
Masihara ya Watanzania Tanzania ndio nchi pekee duniani mtoto anauliza akitaka kuwa Rubani afanyaje anaambiwa alale kwenye chandarua chenye dawa... Timbwili la Mke wa Kibongo Tofauti ya Mke wa Kizungu na mke wa Kibongo pale ambapo Mwanaume wake atokapo kuoga. Mke wa Kizungu: Baby you look nice and fresh. Mke wa Kibongo: Naona safari imeiva, Mwanaume hupumziki kama nesi wa zamu. Dalili ya Vyuma Kukaza Mwezi wa 11 mwaka uliopita, kuna mtu alinitumia Tshs 50,000/= akapandishwa cheo kazini. Rafiki yangu wa zamani akanitumia Tshs 75,000/= akashinda bahati nasibu. Mwingine akanitumia Tshs 100,000/= muda si mrefu akaolewa.               Sikwambii unitumie hela ila fikiria baraka walizopata walionitumia hela baada ya hapo fanya maamuzi SAHIHI... Mbaazi na Makopo Kilo ya Mbaazi Tsh 300 na Kilo ya Makopo Tsh 450. Sasa utachagua mwenyewe ulime Mbaazi au uokote Makopo �

Vichekesho Vipya Vinavyotamba Katika Mtandao wa WhatsApp

Image
ANDIKA KWA UDOGO Mwalimu:Lori la mawe limewekwa speed gavana. Mwanafunzi: pick up ya kokoto imewekwa speed seneta.  Hapo ndipo mwalimu anasema heri babako angebet na fee yako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚                          MWANAMKE NI NANI? Mwanamke ni yule anaefatiliwa na Wanaume asiowajua lakini hatoi taarifa Polisi                        AKILI ZA BANGI Ushawahi vuta bangi alafu unarudi nyumbani unamwangalia baba yako Mzazi kama dk 10 hv then unamuuliza hivi bro nishakuonaga wapi vile? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚                         PALE UNAPOAZIMA SIMU NA KUKOSA WA KUCHAT NAYE Kama hamchat semeni nipeleke simu ya watu ...

VICHEKESHO HIVI KIBOKO! SOMA KWA UANGALIFU USIVUNJE MBAVU ZAKO!

Image
KAMA UNAITWA DAUDI Kama unaitwa Daudi na una demu wako amekuandikia ‘sms’ kuwa anaumwa yupo hospital anaomba umtumie hela, usimtumie maana kuna demu niko nae hapa kwenye daladala ndo kaandika hivyo na anacheka ni mzima kabisa. MAANA YA UJINGA Ujinga ni nini? Ujinga ni kulala Giza wakati bibi yako ni mwanga 😁😁 USIMWAMINI YEYOTE! Haya Maisha Duniani hupaswi kumwamini mtu yeyote.... Hivi unajua kuwa hata TANESCO wana Generator ofisini kwao.... #UaminifuUshaisha SITASAHAU Sitasahau siku nilipotoka nyumbani saa kumi na moja jioni nikiwaacha wanapeta mchele 😁😁😁😁   lakini niliporudi saa mbili nilikuta ugali mezani 😰😰😰😰 . Nilihuzunika πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜” sana na sito sahau. GAME LA NYOKA muda huu vijana walio single wamelala wameweka mikono yao  ndani ya boksa wanacheza game la nyoka.   πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ SEHEMU ZA SIRI              Sehemu za siri walikua nazo wazee Wa zamani, sisi tuna sehemu...

VICHEKESHO HIVI VITAKUVUNJA MBAVU, SOMA KWA TAHADHARI

Image
WANAWAKE WANAKULA KWA TABU Hakuna watu wanaokula kwa tabu kama wanawake  wenye lipstick.. Wakitaka kula wanatoa meno nje kama ngiri 😝😝  MLEVI MAHAKAMANI   Mlevi kapelekwa mahakamani Hakimu akamwambia  wewe sasa  hii mara ya  pili unakuja  hapa   Mlevi: mbona we kila  siku upo  hapa na hakuna alokwambia kitu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚   MBWEMBWE ZA DOKTA RUTACHUNZIBWA Dr. Rutachunzibwa: Dada niwekee petrol full tank tafadhali Fuel attendant: Sir, I don't speak swahiri, I only speak English Dr. Rutachunzibwa; Ok! good morning my dear, I currently feel a profound desire to replenish the propelling of my motorized automobile. Therefore I cordially request you to transfer from your subterranean reservoir a sufficient quantity of the combustible fluid of the highest octane rating to fill the appropriate receptacle of the said means of perambulation to the brim. Fuel attendant: πŸ™„ Natania tu boss wan...

VICHEKESHO 10 VILIVYOTUFIKIA WIKI HII

Image
*Hivi ushawahi penda msichana hadi mkiwa church unamlipia sadaka...unaweka kwa kikapu alafu unamwambia mchungaji kwa ishara ya vidole kuwa sadaka uliyotoa ni."Ya wawili?* ".. ✌ ikifikia hatua hii basi ujue kazi ya moyo ni kusukuma CHAPATI πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ XXX *Dangote Tajiri wa Africa nzima Anamiliki Viwanda na Vitega Uchumi Kibao Lakini Ana Demu mmoja tu* ```Wewe Unamiliki Kitanda Godoro Tv na kasabufa ka Elfu 70 tu Eti una Mademu 20```      *ACHA BANGI BRAZA* XXX ILI KULINDA NDOA YAKO... HAKIKISHA 1. Unaoga na mkeo 2. Ukishindwa, basi oga na simu yako... ⚔ XXX UJINGA NI NINI πŸ€”πŸ€”πŸ€” Ujinga ni pale unapomaliza darasa la saba bila kujua.. Sifuri kwa kirumi inaandikwaje.. 🚢🚢🚢🚢 XXX *Je ushawahi kufanyiwa homework na mzazi halafu unapata zero?* 😁😁😁😁😁 *Hapo ndio utajua kuwa kumbe tatizo sio wewe!!* 🚢🏼🚢🏼🚢🏼🚢🏼🚢🏼 XXX FACT Ukitaka kutetemeka had sehemu za siri πŸ™ˆπŸ™ˆ panda trekta πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...