Vichekesho Vipya Vinavyotamba Katika Mtandao wa WhatsApp

Vichekesho Vipya Vinavyotamba


ANDIKA KWA UDOGO

Mwalimu:Lori la mawe limewekwa speed gavana.
Mwanafunzi: pick up ya kokoto imewekwa speed seneta.
 Hapo ndipo mwalimu anasema heri babako angebet na fee yako
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚  
                     

MWANAMKE NI NANI?

Mwanamke ni yule anaefatiliwa na Wanaume asiowajua lakini hatoi taarifa Polisi                       

AKILI ZA BANGI

Ushawahi vuta bangi alafu unarudi nyumbani unamwangalia baba yako Mzazi kama dk 10 hv then unamuuliza hivi bro nishakuonaga wapi vile?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚  
                    

PALE UNAPOAZIMA SIMU NA KUKOSA WA KUCHAT NAYE

Kama hamchat semeni nipeleke simu ya watu  

                    

MADHARA YA KUKOSA HELA

Hivi Ushawahi Kuamka Asubuh Huna Hata Mia Umepigika Ile Mbaya Kiasi Kwamba Hata Ukiona Kuku Wawili Wamesimama Unahisi Wanakusema.

AKILI ZA WAUZA BUCHA

AKILI ZA WENYE BUCHA BHANA WANAZIJUA WENYEWE. MFUPA ALIOUKATA YEYE KWA SHOKA ANATAKA MIMI NIKAUTAFUNE KWA MENO πŸ˜πŸ˜πŸƒ  
                    

MAMBO YA KUOMBA VYUO

Kama una ndugu yako aliyeomba chuo na hajaona jina lake IFM basi mwambie aangalie ITV. 
                    

HAPANA CHEZEA WAKE WANNE

Mume: Niandalie mkeka niswali
Mke: Dini inasema uswali msikitini
Mume: Dini inasema nioe wake wa4
Mke: Nikuwekee Chumbani au Sebuleni?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚                       


NJE YA NDOA

Wapendwa samahani naomba msaada
*ukitaka kwenda nje ya ndoa unapanda gari za kwenda wapi?* nimefika nzega saizπŸ˜” 

KILICHOIPONZA TIMU YA WATOTO ZAMBIA                     

Journalist: How do u feel after scoring the winning goal which put ur team through to the quarter finals?
Player: Am very happy & l dedicate the goal to my wife & 3 kids, l know they're watching. Love u guys.πŸ€—
😐
This was how Zambia U-17 team was disqualified from the tournament in Rwanda.🀦🏾‍♂
Under-17 player married with 3 kids πŸ™„
I love Africa!                       

WADADA NA NDOA

Wadada Wakiwa na Miaka 25 Kushuka Chini Wanataka Kuolewa na Wanaume na Wenye Prado, BMW, Vogue etc......
Akifikisha Miaka 30 Anataka Chochote Kinachonguruma Hata Kama Ni Tumbo..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


VITUKO MTAANI

Binti anaweza Kuazima Nguo Ili Akakutane Na Jamaa Aliyeazima Gari....!
Tunaita win win situation πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

MAANA YA UJINGA

ujinga ni nn?
ujinga ni kumtumia    demu mliekutana fb nauli ya kutoka mwanza to dar alafu unasema   katika maisha yako ujawai kubetiπŸ˜…πŸ˜…

MGONJWA JEURI

πŸ˜„πŸ˜„eti naumwa afu mtu ananiambia
 
     MEZA DAWA
Hv jaman kwel MEZA ni dawa??
  

NDOTO HII BALAA

Ndoto zingine aki ni mbaya.. Niliota nikidrive ma new Mercedes Benz alafu ikakwama kwa matope... Ikabidi niisikume.. Kuamka 😳 nipo na kitanda jikoni
πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”


BAE NA BOO

Bae:baby leo nimeona iphone8 kwenye duka la simu mjini, ni nzuri😍

Boo: vipi umeipendaπŸ€”

Bae: nimeipenda sana mpenzi wangu😍

Boo: usijali kesho nitakupa nauli ukaiangalie tenaπŸ˜…

KIJIJINI BANA


Maisha ya kijijini noma sana unakweda kuoga  unagundua umesahau sabuni unakwenda kufata sabuni unaludi bafuni unakuta ng'ombe kanywa maji yote πŸ˜‚ unaamua kufata maji mengine unarudi bafuni unakuta mbuzi kesha kula sabuni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

TAZAMA POVU LA MWALIMU MAKOBA KWA WASANII WAVAA HOVYO

Popular posts from this blog

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu

Jinsi ya Kuandika Barua ya Maombi ya Kazi Mwaka 2023

Jinsi ya Kuandika Risala | Kiswahili Kidato Cha Nne