Posts

Showing posts with the label kiswahiliolevelexam

Mtihani wa Kiswahili Kidato cha Nne 2024 NECTA Majibu

Image
Sehemu A (Alama 16) 1. Katika kipengele I hadi X chagua herufi ya jibu sahihi kisha andika herufi ya jibu kwenye kijitabu chako cha kujibia. (i) Vifuatavyo ni vyanzo vya misimu, isipokuwa: A Tanakali sauti au milio A B Sayansi na Teknolojia C Shughuli maalumu D Utani katika jamii E Mabadiliko ya historia (ii) Neno lenye mofu ya mtendwa ni lipi kati ya haya? A Aliyetembea B Alimkimbilia B C Alivyotembea D Atakayetembea E Ametembea (iii) Msaada wako umenifaa sana. Asante! Neno "Asante!" ni aina gani ya neno? A Nomino B Kivumishi C Kielezi D Kitenzi E Kihisishi E (iv) Tamathali ipi ya semi hukipa kitu kisicho binadamu sifa ya ubinadamu? A Taniaba B Tashihisi B C Tashibiha D Takriri E Tabaini (v) "Wanafunzi wa Kidato cha Pili wamepigiwa ngoma." Kauli hii inaonesha hali gani? A Kutendana B Kutendeka C Kutendewa C D Kutendwa E Kutendea (v) "Wanafunzi wa Kidato cha Pili wamepigwa ngoma." Kauli hii inaonesha hali gani? A Kutendana B Kutendeka C Kutendewa D Kuten...

Mtihani wa Kiswahili Kidato cha Nne 2023 1

Image
Muda:  Saa 3 Maelekezo 1.  Karatasi hii ina sehemu A, B na C zenye jumla ya maswali 12. 2.  Jibu maswali yote katika sehemu A na B na maswali matatu kutoka sehemu C. 3.  Sehemu A in alama 15, sehemu B ina alama 40 na sehemu C ina alama 45. 4.  Zingatia maelekezo ya kila sehemu na ya kila swali. 5.  Simu za mkononi na vitu vyote visivyoruhusiwa havitakiwi katika chumba cha mtihani. 6.  Andika namba yako ya mtihani katika kila ukurasa wa kijitabu chako cha kujibia. Sehemu A (Alama 15) Jibu maswali yote katika sehemu hii. 1.  Chagua herufi ya jibu sahihi katika vipengele (i) hadi (x), kisha andika herufi ya jibu hilo kwenye kijitabu chako cha kujibia. (i)  “Kushindana na mtu aliyekuzidi kwa kila hali si busara.” Methali zifuatazo zinashabihisha kauli hii isipokuwa: A Mwenye pesa si mwenzio B Nazi haishindani na jiwe C Chanda chema, huvikwa pete D mwenye nguvu mpishe E Maji yakija kasi yapishe (ii)  Bainisha sentensi yenye vielezi zaidi ya k...