VICHEKESHO HIVI VITAKUVUNJA MBAVU, SOMA KWA TAHADHARI
VICHEKESHO

WANAWAKE WANAKULA KWA TABU

Hakuna watu wanaokula kwa tabu kama wanawake  wenye lipstick.. Wakitaka kula wanatoa meno nje kama ngiri😝😝

 MLEVI MAHAKAMANI

 Mlevi kapelekwa mahakamani Hakimu akamwambia  wewe sasa  hii mara ya  pili unakuja  hapa
 Mlevi: mbona we kila  siku upo  hapa na hakuna alokwambia kitu

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ 

MBWEMBWE ZA DOKTA RUTACHUNZIBWA


Dr. Rutachunzibwa: Dada niwekee petrol full tank tafadhali

Fuel attendant: Sir, I don't speak swahiri, I only speak English

Dr. Rutachunzibwa; Ok! good morning my dear, I currently feel a profound desire to replenish the propelling of my motorized automobile. Therefore I
cordially request you to transfer from your subterranean reservoir a sufficient quantity of the combustible fluid of the highest
octane rating to fill the appropriate receptacle of the said means of perambulation to the brim.

Fuel attendant:πŸ™„ Natania tu boss wangu, shikamoo; umesema niweke full tank??

Dr.Rutachunzibwa
Kakazi nyabaki kalofu obugulu oti bwe endai!

Fuel attendant: Sijakuelewa boss, unasemaje??

Dr. Mwakyusa: Anasema jaza mpaka juu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Comments

Popular posts from this blog

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu

Uhakiki wa Riwaya ya Watoto wa Maman’tilie

Uhakiki wa Tamthiliya ya Kilio Chetu