VICHEKESHO 10 VILIVYOTUFIKIA WIKI HII

*Hivi ushawahi penda msichana hadi mkiwa church unamlipia sadaka...unaweka kwa kikapu alafu unamwambia mchungaji kwa ishara ya vidole kuwa sadaka uliyotoa ni."Ya wawili?* "..

ikifikia hatua hii basi ujue kazi ya moyo ni kusukuma CHAPATI πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
XXX

*Dangote Tajiri wa Africa nzima Anamiliki Viwanda na Vitega Uchumi Kibao Lakini Ana Demu mmoja tu*

```Wewe Unamiliki Kitanda Godoro Tv na kasabufa ka Elfu 70 tu Eti una Mademu 20```

     *ACHA BANGI BRAZA*
XXX

ILI KULINDA NDOA YAKO... HAKIKISHA

1. Unaoga na mkeo
2. Ukishindwa, basi oga na simu yako...

XXX

UJINGA NI NINIπŸ€”πŸ€”πŸ€”



Ujinga ni pale unapomaliza darasa la saba bila kujua..
Sifuri kwa kirumi inaandikwaje..
🚢🚢🚢🚢
XXX

*Je ushawahi kufanyiwa homework na mzazi halafu unapata zero?*
😁😁😁😁😁
*Hapo ndio utajua kuwa kumbe tatizo sio wewe!!*
🚢🏼🚢🏼🚢🏼🚢🏼🚢🏼
XXX

FACT

Ukitaka kutetemeka had sehemu za siriπŸ™ˆπŸ™ˆ
panda trektaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
XXX

*Kumbe bangi haina madhara yoyote bana,nimejaribu kupiga pafu tatu usiku huu na Niko vizur tu nimekaa juu ya tv naangalia masofa yangu,*.
XXX

*Hapo ulipo hakuna hata anesema wewe ni mzuri ila iba uone*

*Utasikia "halafu mkaka mwenyewe mzuri tu sijui kwanini anaiba"*πŸ˜‚
XXX

*Samahani, Eti katika kutembea tembea kwako ulishawahi kusikia MMASAI anayezungumza kwa BESI*πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
XXX

*Niliwahi kusikia kuwa maji na mafuta havichangamani, na pia mafuta huwa yanaelea juu ya maji*..... *Basi jana mimi nikaamua kupaka mafuta mengi tu miguuni kisha nikaingia baharini ili niweze kutembea juu ya maji maana nilihisi ningeelea na kuweza kufanya chochote*.
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€” *sikumbuki nini kilitokea lakini nilijikuta nimelala mchangani watu wakiwa wamenizunguka huku wakisema niwashukuru sana wavuvi*. *Nadhani watakuwa wamenipa samaki wa bure*

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
XXX

HELLOW
*jamani nimepotea halaf sijui niliko atakaeniona atoe taarifaa*

πŸ™†‍♂πŸ™†‍♂πŸ™†‍♂πŸ™†‍♂πŸ™†‍♂πŸ™†‍♂πŸ™†‍♂πŸ™†‍♂
XXX

Zamani ukichukuliwa msukule unaenda kulima, siku hizi unachukuliwa msukule unaenda kuBet.πŸ˜†
XXX

Vichekesho hivi vimechukuliwa kutoka katika mtandao wa WhatsApp na watunzi wake hawakuweza kufahamika.





Popular posts from this blog

Jinsi ya Kuandika Barua ya Maombi ya Kazi Mwaka 2023

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu

Jinsi ya Kuandika Barua ya Kirafiki