Vichekesho Haviishi Miaka Yote, Soma Hivi Vipya

Vichekesho Haviishi Miaka Yote, Soma Hivi Vipya

Masihara ya Watanzania

Tanzania ndio nchi pekee duniani mtoto anauliza akitaka kuwa Rubani afanyaje anaambiwa alale kwenye chandarua chenye dawa...

Timbwili la Mke wa Kibongo

Tofauti ya Mke wa Kizungu na mke wa Kibongo pale ambapo Mwanaume wake atokapo kuoga.
Mke wa Kizungu: Baby you look nice and fresh.
Mke wa Kibongo: Naona safari imeiva, Mwanaume hupumziki kama nesi wa zamu.

Dalili ya Vyuma Kukaza

Mwezi wa 11 mwaka uliopita, kuna mtu alinitumia Tshs 50,000/= akapandishwa cheo kazini. Rafiki yangu wa zamani akanitumia Tshs 75,000/= akashinda bahati nasibu. Mwingine akanitumia Tshs 100,000/= muda si mrefu akaolewa.               Sikwambii unitumie hela ila fikiria baraka walizopata walionitumia hela baada ya hapo fanya maamuzi SAHIHI...

Mbaazi na Makopo

Kilo ya Mbaazi Tsh 300 na Kilo ya Makopo Tsh 450. Sasa utachagua mwenyewe ulime Mbaazi au uokote Makopo

Popular posts from this blog

Uhakiki wa Tamthiliya ya Kilio Chetu

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu

Jinsi ya Kuandika Risala | Kiswahili Kidato Cha Nne