Mitihani ya Terminal 2026 Madarasa Yote Ambayo Haijawahi Kufanywa Popote

Wanafunzi wakiwa na mitihani mkononi wakihama darasa

Hii inawahusu walimu wote wanaofundisha ngazi mbalimbali za elimu. Jipatie mitihani ya Terminal inayohusisha madarasa yote ambayo haijawahi kufanywa popote.

Namna ya Kujipatia

Utawasiliana nasi kupitia mawasiliano yatakayowekwa chini ya makala hii, kisha utatueleza somo unalotaka kisha utaandaliwa mtihani wako mpya ambao haujawahi kufanywa popote. Tutakuandalia mtihani wako ndani ya siku moja tu.

Tunasisitiza kwamba, mtihani utakaopewa, haujawahi kufanyika sehemu yoyote.

Gharama za Mtihani mmoja ni Tsh. 5,000/= tu. Mtihani utaupata ukiwa na majibu yake.

Kujipatia Mtihani Wako Ambao Haujawahi Kufanyika Popote, Wasiliana na Mwalimu kwa Kugusa Hapa

Faida ya Kuandaliwa Mtihani Ambao haujawahi Kufanya Popote

Katika zama hizi ambazo taarifa zinapatikana kwa wepesi, walimu wengi wamekuwa wakichukua mitihani mtandaoni na kuwapima wanafunzi wao. Jambo hili linaweza kuonekana linarahisisha maisha lakini lina changamoto zake.

Tayari wanafunzi wengi wanafahamu walimu wanakotoa mitihani hiyo, lakini tayari wanafunzi wengi wamekwisha ipakua mitihani hiyo na kui’solve’, hivyo unapowapa mitihani ambayo tayari wameiona, upimaji wako unaingia dosari.

Mitihani iliyoandaliwa kwa ajili yako wewe pekee itakufanya usitabirike katika mitihani yako na uwe na uhakika juu ya kile unachopima.

Katika mitihani hii ambayo imeandaliwa kwa ajili yako, unaweza kuchagua mada unazotaka zitungiwe mtihani, hivyo kukusaidia kupima yale mambo ambayo tayari umeyafundisha.

Mitihani hii inafuata mfumo mpya wa utungaji mitihani nchini Tanzania yaani ‘competence based’, na imeandaliwa na walimu halisi.

Mitihani ya ‘kupakua’ mitandaoni inaweza kuwa njia ya mkato ya kukusaidia Mwalimu, lakini inakupa changamoto kubwa juu ya kila unachopima na kile ulichofundisha.

Kwa kuwa unawafahamu vyema wanafunzi wako, katika mitihani hii unapewa nafasi ya kuchagua hata aina ya maswali unayotaka yakulizwe. Iwe ni maswali ya kuchagua, kuoanisha, majibu mafupi na maswali yanayotaka maelezo marefu, nafasi ni yako na ni nini unachotaka kupima kwa wanafunzi wako.

Kujipatia Mtihani Wako Ambao Haujawahi Kufanyika Popote, Wasiliana na Mwalimu kwa Kugusa Hapa

Popular posts from this blog

SMS 20 za Vichekesho Zinazochekesha Sana

Uhakiki wa Tamthiliya ya Kilio Chetu

Vichekesho vya Kuchekesha na Kuvunja Mbavu 1