Nafasi za Kazi Wiki Hii | Ajira Mpya Wiki Hii
Kwanza kuna nafasi za kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Makete. Hizi zimetangazwa tangu tarehe 26/07/2025.
Nafasi hizo zinahusisha:
Dereva daraja la II nafasi 12
Kuomba na kusoma maelekezo, fungua hapa.
Pili ni nafasi za kazi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi. Zimetangazwa tarehe 24/07/2025.
katika kazi hizi anahitajika:
Dereva daraja la II nafasi 3
Ili kuomba nafasi hizo, fungua hapa.
Tatu ni nafasi za kazi kutoka halimashauri ya wilaya ya Momba. Zimetangazwa tarehe 23/07/2025.
Zimetangazwa kazi hizi:
Dereva daraja la II nafasi 6
Ili kuomba na kufahamu sifa na vigezo, soma zaidi hapa.
Nne ni nafasi za kazi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya MKuranga. Zimetangazwa tarehe 16/07/2025.
Nafasi zilizotangwa ni:
Dereva daraja la II nafasi 5
Msaidizi wa kumbukumbu daraja la II nafasi 4
Ili kuomba, soma zaidi hapa.
Ushauri kwa waombaji wote
Hakikisha unasoma vizuri maelekezo na hufanyi makosa au kwenda kinyume na yanayotakiwa.
Hakikisha una sifa zinazotakiwa, usiombe tu ilhali unafahamu huna sifa, utapoteza muda wako.
Weka namba za simu zinazopatikana. Kama unazo mbili, weka namba moja tu ambayo una uhakika nayo. Pia, hakikisha unafuatilia taarifa mbalimbali baada ya kuwa umefanya maombi yako ya kazi.
Hakikisha unaandika vizuri barua yako ya maombi ya kazi. Soma hapa jinsi ya kuandika barua ya maombi ya kazi.
Hakikisha unaandika vizuri CV yako, soma hapa jinsi ya kuandika wasifu.
Zingatia kwamba, unapoandika barua ya maombi ya kazi, kama tangazo la kazi limeandikwa Kiswahili, na wewe barua yako andika kiswahili. Kama limeandikwa kiingereza na wewe andika kwa kiingereza.
Kwa hivyo, matangazo hapo juu, andika CV na barua yako ya maombi ya kazi kwa kiswahili.
Muombaji anayehitaji kupata kazi hizi na hataki kufanya makosa yoyote, anaweza kuwasiliana nasi tumuandikie CV na barua ya maombi ya kazi inayokubalika, tumeandikia watu wengi na tunaamini utafanikiwa kupata kazi husika.
Kitaalamu Zaidi, Tunaweza Kukuandikia Barua ya Maombi ya Kazi na CV Uitwe Katika Usaili na Upate Kazi. Barua Tsh. 5,000/= na CV Tsh. 9,000/=. Gusa Hapa Kuwasiliana Nasi.