Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu
Kitaalamu Zaidi, Tunaweza Kukuandikia Barua ya Maombi ya Kazi na CV Uitwe Katika Usaili na Upate Kazi. Barua Tsh. 5,000/= na CV Tsh. 10,000/=. Gusa Hapa Kuwasiliana Nasi.
CV
au wasifu ni kitu cha lazima kwa yeyote anayeomba kazi. Watu wengi wanaokosa
kazi, tatizo huwa siyo wao, bali tatizo huwa ni CV zao. Kumekuwa na makosa
mengi katika uandishi wa CV jambo ambalo limesababisha watafuta kazi wengi
kushindwa kuitwa kwenye usaili.
Makala
hii itakueleza namna sahihi ya kuandika CV, utaitwa katika ‘interview’ nyingi
endapo utaandika CV sahihi. Tena nakukumbusha, kila taaluma ina aina yake ya
CV, CV ya rubani haifanani na CV ya injinia. Vivyo hivyo, CV ya mpishi
haifananani na CV ya Mwalimu.
Pia nakukumbusha usome jinsi ya kuandika barua ya maombi ya kazi, kwani CV huenda pamoja na barua ya maombi ya kazi.
Hatua
ya kwanza nitaonesha mfano wa CV kwa lugha ya Kiswahili na hatua ya pili
nitaonesha mfano wa CV kwa lugha ya Kiingereza halafu utachagua mwenyewe utumie
lugha gani katika kuandika CV yako.
Mfano wa CV ya Kiswahili
WASIFU WA SAMWEL MANATI MALUMBAGA
Taarifa za
Awali
Jina: Samwel Manati
Malumbaga
Ndoa: Ameoa
Barua Pepe: samwelimbaga@gmail.com
Simu: 0754
89 53 21
Utaifa: Mtanzania
Tarehe ya
kuzaliwa: 02/08/1986
Historia ya Elimu
2007-2008, VETA Dodoma.
2013-2016, Shule ya Sekondari
Kiwanja cha Ndege. Cheti cha Kidato cha Nne.
19966-2012, Shule ya
Msingi Makole. Cheti cha Darasa la Saba.
Uzoefu
2012-2013, Mgodi wa Bulyanhulu.
Maarifa
- Kutumia
Kompyuta.
Ninapenda
Kufanya kazi, Kufundisha, Kusoma, Kujifunza mambo
mapya.
Wadhamini:
1. Mwalimu Makoba
Barua Pepe: daudmakoba@rocketmail.com
Contact: 0754 89 53 21
Dar es Salaam.
2. David Mwakimonga,
Mkufunzi,
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,
S.L.P 35040,
Dar es Salaam.
Mfano wa CV ya kiingereza
CURRICULUM VITAE OF MATIKO PANDAMELI
Particulars
Name: Matiko Pandameli
Marital status: Single
E-mail: matiko@gmail.com
Telephone: 0653 250 566
Nationality: Tanzanian
Date of birth: 14/10/1996
PROFILE
I am a
creative, influential, corporative and enthusiastic person with well-organized
performance, intellectual and competence in the areas of health.
Academic Background
Duration
|
Institute attended
|
Award
|
2017-2019
|
Rukwa
College of Health and Allied Sciences
|
Diploma in Medical Attendant
|
2015-2017 | Bagamoyo Secondary School | Advanced Certificate of Secondary Education (ACSE) |
2011-2014 | Nkasi Secondary School | Certificate of Secondary Education(CSE) |
2004-2010 | Namanyere Primary School | Certificate of Primary Education |
Work experience
Place: Nazareti Dispensary in Mbozi
Songwe
Position: Medical attendant
Date: October 2014 – January 2015
Place: Matai Dispensary in Karambo
Rukwa
Position: Medical Attendant
Date: March 2016 - May2016
Language Proficiency
Swahili: Excellent written and oral
skills.
English: Excellent written and oral
skills.
Skills
- Presentation and teaching skills.
- Communication skills.
- Good interpersonal skills.
- Computer literate: competent in MS Word, MS Excel, MS Publisher, MS
PowerPoint.
Interests
Teaching, social networks, creative writing, music, reading books, football,
swimming, playing game.
Referee available on request
Mwalimu Makoba,
Mwalimu Makoba Open School,
Email: daudmakoba@rockemail.com,
Contact: 0754 89 53 21,
Dar es Salaam.
Mr. David Mwakimonga,
Assistant Lecturer,
University of Dar es Salaam,
P.
O. Box 35040,
Dar es Salaam.
Mr. Jonathan Tangwa,
Principal of IEDS,
P.O.Box 7775,
Dar es Salaam.
Declaration
I, SAMWELI MANATI MALUMBAGA,
do hereby declare and state that, the information given on this curriculum
vitae is true to the best of my knowledge.
Mfano wa Pili wa CV ya Kiingereza
Mfano huu ni wa CV ya kitaalamu zaidi. Kazi zote nilizowahi kuomba, niliandaa CV yangu katika mfumo huu na mara zote niliitwa katika interview. Watu wengi niliowahi kuwaandikia CV na ninaoendelea kuwaandikia CV nimekuwa nikitumia mfumo huu unaokubalika kwa waajiri wote, yaani binafsi na serikali. Tazama mfano wake:
Kitaalamu Zaidi, Tunaweza Kukuandikia Barua ya Maombi ya Kazi na CV Uitwe Katika Usaili na Upate Kazi. Barua Tsh. 5,000/= na CV Tsh. 10,000/=. Gusa Hapa Kuwasiliana Nasi.