Maswali 100 Kujiandaa na Mtihani Usaili Walimu English na Geography

Mwalimu wa Geography na English akiwa darasani kabla ya usaili walimu
Kama unaelekea kufanya mtihani wa English au Geography, maswali haya usikubali kuyakosa, na kamwe usiingie katika mtihani wako, bila kuyasoma. Nafahamu unajiuliza kwamba, Geography na  English iweje maswali yafanane? Kama umechelewa kujua, mambo yamebadilika japo kwa kushtukiza, maswali sasa yanaangazia hesabu nyepesi, kompyuta, akili mnemba na taaluma ya ualimu! Lakini kabla sijajikita katika maswali, naomba nisimulie mkasa ili kukuondoa hofu ya kuwa ‘not selected’ badala yake uamini jambo moja tu, ‘selected’!

Niweke wazi kuwa, nina mahusiano na mwanamke anayefanya kazi Sekretariati ya Ajira. Hata hivyo, kitengo chake wala hakihusiki na mitihani ya usaili walimu.

Ninafichua kuwa, mahusiano yangu na yeye yamelegea, tukigombana akinitaka niache hiki ninachokifanya asije akafikiriwa vibaya nikamharibia ugali wake!

Siwezi kuacha, ninafanya jambo hili kwa sababu mimi ni mwalimu, sipendi kuona walimu wanateseka kusoma mambo ambayo hayatoki. Kazi yangu ni kuwaambia linatoka jambo hili, soma hapa, gusa hiki, kisha ninawawekea maswali ya mfano wa kile wanachokwenda kuulizwa. Maswali yangu ni kama ‘past paper’ kwa mwanafunzi anayejiandaa na mtihani wa ‘necta’. Mitihani hii isiyo tabirika wala kueleweka, inahitaji watu wa aina yangu kuyafanya mambo yawe rahisi.

Nitasema kweli kwamba, sijawahi kuiona hela yake nyumbani, kama kila kitu nafanya mimi, kuna hasara gani ugali wake ukimwagika?

Nitaeleza kwamba, ninachokifanya na nafasi yake kazini, wala havina uhusiano, wala hakihatarishi kazi yake, kinachomsumbua huyu Mtanzania ni wivu. Kazi hii imenifanya niwe ninatafutwa na wasichana wengi warembo wanaotafuta kazi ya ualimu wengine wakiwa wamehitimu mwaka jana tu, wakinipigia simu kuuliza hili na lile, na mimi nimekuwa karibu sana na wao kiasi cha kuwasha taa ya hatari nyumbani!

Ninakiri kwamba, ni kweli, ninapozungumza na wanawake, ninawapa muda wangu na wengine ninawaelekeza ilipo ofisi ili waje niwapatie mbinu za maangamizi ya kupambana na usaili huu wa ajira za walimu. Jambo linaloongeza utata, ofisi ina godoro na hili ndilo lililoleta wivu mkubwa na makelele ya kunitaka niache ninachokifanya!

Ninathibitisha kwamba, kama ilivyokuwa kwa mtu mwenye akili nyingi Albert Einstein, NINAWAPENDA WANAWAKE.

Mtihani Ulivyo

Mitihani ya sasa inapima maeneo haya: hesabu nyepesi, maarifa kuhusu kompyuta, akili mnemba na maarifa kuhusu taaluma ya ualimu na kwa baadhi ya masomo, tumeshuhudia masomo husika ya kufundishia yakitolewa maswali, japo siyo kwa wingi.

Hivyo basi unapojiandaa, jiandae kwa kusoma maeneo hayo. Sasa tuanze kutazama maswali.

Sehemu ya Kwanza: Hesabu Nyepesi

Katika hesabu, naomba nisaidie pia kuonesha namna jibu lilivyopatikana, hivyo nitakokotoa kila mwisho wa jibu.

1. What will come at the place of question mark?

1, 9, 25, 49, ?, 121.

A. 100

B. 91

C. 64

D. 81

Solution:

The sequence follows the pattern of squaring odd numbers:

1 x 1 = 1

3 x 3 = 9

5 x 5 = 25

7 x 7 = 49

9 x 9 = 81

11 x 11 = 121

The correct answer is D. 81.

2. What will come at the place of question mark?

4, 7, 12, 19, 28, ?

A. 49

B. 36

C. 30

D. 39

Solution:

The pattern is to add consecutive odd numbers starting from 3:

4 + 3 = 7

7 + 5 = 12

12 + 7 = 19

19 + 9 = 28

28 + 11 = 39

The correct answer is D. 39.

3. Which type of software helps protect your computer from viruses, malware, and other security threats?

A. Word processing software

B. Antivirus software

C. Graphic design software

D. Spreadsheet software

Answer: B

4. A Word document file can be attached to an e-mail message.

A. Yes

B. No

C. Only to selected email addresses

D. It depends on the type of email

Answer: A

5. Which of the following is an example of Artificial Intelligence in daily life?

A. A standard electric fan

B. A smart speaker like Alexa

C. A traditional mechanical watch

D. A bicycle

Answer: B

6. Machine Learning is best described as:

A. A machine learning how to turn on

B. A subset of AI that allows systems to learn from data

C. A programming language

D. A type of hardware

Answer: B

7. Which of the following is the most effective way to establish classroom rules?

A) Read the rules on the first day and post them on the wall.

B) Discuss and create the rules collaboratively with the students.

C) Wait for misbehavior to occur before introducing specific rules.

D) Send a list of rules home for parents to sign without student input.

Answer: B

8. A student is consistently disruptive during independent work. What should be your first step?

A) Send the student to the principal's office immediately.

B) Give the student a failing grade for the day's assignment.

C) Use non-verbal cues or a private check-in to redirect the student.

D) Publicly reprimand the student so others know the behavior is unacceptable.

Answer: C

9. What will come at the place of question mark?

6, 11, 21, 36, 56, ?

A. 91

B. 61

C. 81

D. 71

Solution:

The pattern is adding multiples of 5:

6 + 5 = 11

11 + 10 = 21

21 + 15 = 36

36 + 20 = 56

56 + 25 = 81

The correct answer is C. 81.

10. What will come at the place of question mark?

10, 100, 200, 310, ?

A. 430

B. 420

C. 410

D. 400

Solution:

The pattern involves adding an increasing amount each time, starting with 90 and increasing the addition by 10 for each step:

10 + 90 = 100

100 + 100 = 200

200 + 110 = 310

310 + 120 = 430

The correct answer is A. 430.

11. Which two websites offer free e-mail services?

A. Yahoo and Amazon

B. Yahoo and Google

C. I-Tunes and Twitter

D. Library website and Hotmail

Answer: B

12. What is the primary function of an operating system?

A. Creating documents

B. Managing hardware and software resources

C. Browsing the internet

D. Playing games

Answer: B

13. What is a "chatbot"?

A. A physical robot that walks

B. An AI program that simulates human conversation

C. A hardware component

D. A database storage unit

Answer: B

14. What does "IoT" stand for?

A. Internet of Technologies

B. Internal Operating Tool

C. Internet of Things

D. Integrated Online Traffic

Answer: C

15. What does "differentiation" in a lesson plan primarily refer to?

A) Teaching different subjects at different times of the day.

B) Using the same teaching method for every student to ensure fairness.

C) Adjusting content, process, or products to meet diverse learner needs.

D) Giving extra homework to students who finish their work early.

Answer: C

16. When a teacher uses "formative assessment," what is the primary goal?

A) To assign a final grade for a unit of study.

B) To monitor student learning and provide ongoing feedback.

C) To rank students from highest to lowest performing.

D) To prepare students for a high-stakes standardized test.

Answer: B

Jipatie Maswali Yote 100, Yakusaidie Katika Kujiandaa na Mtihani Wako, Wasiliana na Mwalimu kwa Kugusa Hapa

Popular posts from this blog

Maswali 100 ya Kujiandaa na Usaili Walimu Somo la Kiswahili

Maswali 100 Usaili Ajira za Walimu | Measurement and Evaluation

SMS 20 za Vichekesho Zinazochekesha Sana