Tangazo la Kazi ya Ualimu

Watu wakipeana barua

Nafasi

Mwalimu wa Physics, Chemistry, Mathematics.

Mwalimu wa Biology na Geography.

Sifa

- Shahada ya Elimu kutoka chuo chochote kinachotambulika na serikali.

- Ajue kutumia Computer.

- Anayeishi Dar es Salaam atapewa kipaumbele.

Majukumu

- Kuandaa notes.

- Kufundisha.

Jinsi ya kuomba

Tuma CV pekee kwenda email: daudmakoba@rocketmail.com, au Kwa njia ya WhatsApp namba: 0754 89 53 21

Popular posts from this blog

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu

Jinsi ya Kuandika Barua ya Maombi ya Kazi Mwaka 2023

Uhakiki wa Riwaya ya Watoto wa Maman’tilie