Posts

Showing posts from June, 2017

VICHEKESHO 10 VILIVYOTUFIKIA WIKI HII

Image
1.    *A successful man is the one who makes more money than his wife can spend*. *A SUCCESFUL WOMAN IS THE ONE WHO CAN FIND SUCH A MAN* 😂 #funnyquote XXX 2.    Mchaga​​ hata apate kazi bank bado atasema yupo ​kibaruani​. Acha sasa ​​mhaya​​ apate kazi katka mashine ya kusaga na kukoboa; utaskia ​i work as a crucial engineer in a monocotyledon finalizing company​ 😂😂😂😂 #sijamtaja_mtu. XXX 3.    *SAMAHANI NILIKUWA NAULIZA HIVI MATEMBELE KWA KIINGEREZA YANAITWAJE* 🤓🤓🤓 XXX 4.    Angalia wadada walivyoumbuka kwenye hii test Ticha katangaza test , Akatoa Masharti; Ukiandika jibu hamna kufuta au kukata. Swali la 1: Taja vyakula vitatu ambavyo ukienda hotelini umelipiwa utapenda kula (marks 1) WAVULANA wakajaza; wali, ugali, mihogo. WADADA wakajaza; burger, pizza, egg chop. Swali la 2: Eleza jinsi ya kupika kila chakula ulichotaja hapo juu. (marks 99) Wacha wadada waanze kuhangaika kufu...

Sarakasi za Makinikia: Wasomi Waliweka Elimu Mfukoni

Image
Wasomi wengi katika nchi za kiafrika linapokuja suala la kusaini mikataba inayogusa rasilimali za taifa, huwekeza nguvu nyingi katika vidole huku vichwa vikiachwa vifanye kazi ya kubeba bongo tupu! Inashangaza kusema kuwa, walioliingizia hasara taifa hili katika sakata la MAKINIKIA ni watanzania ambao kwa idadi yao hawazidi watano… wasomi, waliobeba bongo tupu, AKILI NDOGO ZINAZOENDESHWA NA TUMBO! Makampuni ya wakala wa meli ya Freight Forwarders (T) Limited, Quick Services Clearing and Forwarding Limited na Walford Meadows Co. Ltd, ziliwasilisha nyaraka za uwongo za usafirishaji wa makinikia kutoka Kahama Mining Corporation, (baadaye Bulyanhulu Gold Mine Ltd) na Pangea Minerals Ltd, katika kipindi cha kati ya mwaka 1998 na 2017. Kwa miaka 19 wasomi wetu walikuwa wakidanganywa, nasi tukiwalipa kodi zetu watutumikie. UCHURO! Katika maandiko yangu yaliyopita niliwahi kushauri kwamba, tusiwafundishe watoto wetu historia ya sayansi, bali tuwafundishe sayansi yenyewe! Ni ajabu wasom...

SAFARI YA KUUSAKA MWEZI (sehemu ya 12)

Image
hawakukataa walitukumbatia kisha wakatutakia kila la heri katika safari tuliyotaraji kuianza. Kabla hatujaondoka nilikifuata kile kijitu ambacho kiliiba mwezi wetu na kuzungumza nacho maneno ya mwisho.           “Mwezi wenu utakapozima, usiwaze kuja kuiba mwezi wetu, chukua kitabu hiki kinatoa maelekezo ya jinsi ya kuuwasha mwezi uliozima.” Nilisema huku nikikikabidhi nakala moja ya kitabu. Mimi na Minza tulipanda Mapandagila, nikamweleza Minza kuwa mimi ndiye ningekiendesha chombo kwa wakati huu ili nami nipate uzoefu wa kuongoza chombo kilichosifika pande zote za Dunia. Tulipaa mpaka ulipokuwa mwezi wetu, mwezi ukaongeza tabasamu, Minza akachomoa kamba kubwa iliyokuwa na sumaku maalumu ya kuunasia mwezi, mwezi ukanasa katika kamba, nasi tukapaa, sisi mbele, mwezi nyuma tukiuvuta kama mkia. Furaha yetu haikuelezeka kwa wakati huo. Baada ya masaa mengi ya kupaa angani, hatimaye tulifika katika eneo ambalo vichawi vya anga viliwah...

Ushauri wa Waandishi wa Kazi za Fasihi Kuhusu Kutawala Lugha Wanayotumia

Image
Mwandishi mzuri wa kazi ya fasihi ni yule anayeweza kuitawala lugha yake. Kutokana na maarifa uliyoyapata katika kozi hii, kama ukipata muda wa kushauriana na waandishi wa kazi za fasihi ya Kiswahili ni mambo gani ya msingi yanayohusiana na lugha utakayowashauri wayazingatie? (Swali hili ni la utafiti na uchunguzi: pamoja na kusoma marejeleo mengine yanayohusiana na swali hili, wanakikundi wakusanye data kutoka kwa wanafunzi wanaosoma kozi hii na kuzitumia katika kujibu swali.) Lugha ni roho ya kazi ya fasihi. Hivyo, kuitawala ni jambo lisiloepukika kwa waandishi. Katika kuchunguza mambo yanayohusiana na lugha ambayo waandishi wa kazi za fasihi ya Kiswahili wanapaswa wayazingatie, marejeleo mbalimbali ya wataalamu yalisomwa, pia, data zilikusanywa kutoka kwa wanafunzi wanaosoma kozi ya Elimu Mitindo ya Fasihi ya Kiswahili, wanafunzi 50 walihojiwa mnamo siku ya tarehe 24-05-2017 mpaka 27-05-2017, na haya yalikuwa majibu yao kwa ufupi:        ...

Relationship Between Land and Power in Feudal England and Rise of Capitalism

Image
Examine the relationship between land and power in feudal England. To what extent did the exchanges in this relationship create conditions for the rise of capitalist transformation in English society? For Marx what defined feudalism was the power of the rulling class (the aristocracy) in control of arable land leading to a class society based upon exploitation of the peasants who farm these lands, typically under selfdom and principally by means of labour, produce and money rents. Karl Marx thus defined feudalism primaly by its economic characteristics. [1]           Capitalism is an economic system based on private owneship of the means of production and their operation for profit. Characteristics central to capitalism include private property, capital acumulation, wage labour, voluntary exchange, a price system, and competitive markets. In capitalist market economy, decision making and investments are determined by the owners of...

Nyerere Thoughts in Education for Self Reliance

Image
Nyerere thoughts (in books such as Education for self reliance and in many other forums, such as with teachers) seemed to portray him more as a ‘moral’ philosopher than anything else. Do you agree with this point of view? Is there any evidence to support your agreement or disagreement with this view? Moral can be defined by different books as follows, moral is proper ideas and beliefs about how to behave in a way that is considered right and good by most people. (Webster, 1828). Moral is concerning principles of right and wrong behaviour, ethical example the decline of moral standards a moral questions, problem, judgement and dilemma. (Oxford Advanced Learners Encyclopedic Dictionary, 1989:580). Another definition from the same book, moral based on peoples sense of what is right and just, not on legal rights and obligations example a moral law, duty, obligation (Oxford Advanced Learners Encyclopedic Dictionary, 1989:580). Nyerere one of Africans most respected figures, (1922 – ...