Jipatie Mwalimu wa Kukufuata Nyumbani Kwako

Fundishwa kwa kufuatwa nyumbani ukiwa popote ndani ya jiji la Dar es Salaam.

Anaweza akawa mwanao au wewe mwenyewe! Mimi na walimu wangu, tupo tayari kukusaidia.

Masomo ni kwa ngazi zote za elimu yaani kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari.

Gharama za masomo zinategemea umbali alipo mwanafunzi.

Endapo unahitaji masomo, wasiliana na Mwalimu Makoba kwa kugusa hapa.


Popular posts from this blog

Maswali 100 Kujiandaa na Usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama

SMS 20 za Mahaba Makali Kumtumia Mpenzi Wako

SMS 20 za Vichekesho Zinazochekesha Sana