Jina langu ni Daud Makoba. Nilipata Digrii/Shahada ya Elimu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2017. Elimu ya kidato cha tano na sita niliipata katika shule ya sekondari Bagamoyo. Elimu ya kidato cha kwanza mpaka cha nne niliipata katika shule ya sekondari Kigoma, nayo elimu ya msingi niliipata katika shule ya msingi Mhunze wilayani Kishapu mkoani Shinyanga.
Kwa sasa ninapatikana jijini Dar es Salaam na kwa yeyote anayetaka kusoma anaweza kuwasiliana nami kwa namba: 0754 89 53 21 au 0653 25 05 66. Wanafunzi walio mbali, hufundishwa kwa njia ya mtandao.