Nafasi za Kazi ya Ualimu Ameady School

Maktaba katika Shule ya Ameady School
Ameady School ni Shule mpya ambayo inapanga kufanya mapinduzi makubwa katika elimu nchini Tanzania, hivyo, tunahitaji walimu wenye ari ya kufanya kazi, vipaji halisi vya ufundishaji na moyo wa ushindani na kujituma. Tunakaribisha maombi ya kazi ya walimu awamu ya kwanza katika nafasi zifuatazo:

Walimu Wa Masomo Haya Wanahitajika:

Physics (Nafasi 4)

Mathematics (Nafasi 4)

Biology (Nafasi 4)

Chemistry (Nafasi 4)

History (Nafasi 4)

Kiswahili (Nafasi 4)

English (Nafasi 4)

Academic Communication (Nafasi 2)

Historia ya Tanzania na Maadili (Nafasi 2)

Sifa za Waombaji

Waombaji wote wawe na shahada katika Elimu (Bachelor Degree) kutoka chuo chochote kinachotambulika na serikali.

Muda wa Kupokea Maombi

Maombi yatapokelewa kuanzia tarehe 23 Mei, 2026.

Jinsi ya Kutuma Maombi Yako:

Tuma CV Yako Pekee, CV Zitasomwa na Mashine, Hakikisha CV Yako Inafuata Mfumo wa ATS (ATS Friendly Resume).

CV Zote Zitumwe Katika Email Hii: fifeha5185@ameady.com

Usipoitwa ndani ya mwezi mmoja baada ya kutuma CV yako, chukulia kwamba, umekosa nafasi hii, pia, usitoe fedha kupata kazi hizi.

Tangazo:

Tunaweza Kukuandalia CV Zinazofuata Mfumo wa ATS kwa Tsh 9,000/ tu. Wasiliana Nasi kwa Kugusa Hapa

Msisitizo: Tangazo la Kuandaa CV ni Letu Mwalimu Makoba, Halihusiani na shule husika. Kama Una CV inayokidhi vigezo vyao, tuma moja kwa moja. Endapo huna, Tunaweza kukuandalia. Pia, kwa maswali kuhusu taarifa mbalimbali kuwahusu Ameady School, unashauriwa kuwasiliana nao moja kwa moja kwenye email yao.

Popular posts from this blog

Uradidi Unavyojitokeza Katika Lugha ya Kiswahili

Uhakiki wa Riwaya ya Mfadhili

SMS 20 za Vichekesho Zinazochekesha Sana