Matokeo ya Kidato cha Sita NECTA Mwaka 2021

Logo ya NECTA

Matokeo ya kidato cha sita yametoka siku ya tarehe 10 mwezi wa 07 mwaka huu 2021 ikiwa ni miezi miwili tangu wanafunzi wafanye mtihani wao mnamo mwezi wa tano mwaka 2021.

Tazama Hapa Matokeo

Matokeo yametoka na kama ilivyo kawaida ya matokeo ya miaka yote, mambo ni yaleyale. Wapo waliofaulu, lakini wapo walioshindwa kufaulu. 

kushindwa kufaulu siyo mwisho wa kujaribu tena. Fanya tena mtihani kwa kuepuka sababu zilizokufanya ukashindwa mara ya kwanza. Natumaini mara ya pili italeta matokeo bora.

Wapo wanafunzi ambao hushindwa kufanya mitihani yao vizuri kwa sababu hawana walimu. Kama wewe ni miongoni mwao, tafadhali wasiliana na Mwalimu Makoba kwa namba: 0653 25 05 66, na kama una mtandao wa whatsapp gusa hapa. Wanafunzi waliombali, hufundishwa kwa njia ya mtandao.

Soma: Wasemavyo wanafunzi wangu kuhusu matokeo

Popular posts from this blog

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu

Jinsi ya Kuandika Barua ya Maombi ya Kazi Mwaka 2023

Jinsi ya Kuandika Risala | Kiswahili Kidato Cha Nne