Testimonials
Maneno ya Wanafunzi Wangu Kuhusu Matokeo
"Shikamoo mwalimu, nakushukurua sana ulinisupport nimefaulu." Leila Koshuma.
"Mungu ashukuliwe, ahsante pia mwalimu wangu, nina one ya 9." Zuhura Mziwanda.
"Teacher, nina two ya 11." Monica Aden.
"Ahsante Mwalimu Makoba nashukuru na nitakushukuru daima nasita kusahau katika maisha yangu umenikomboa nimefaulu." Lazeck Burton.
"Mwalimu wangu nimefaulu, nina two ya 10." Aneth.