Mwalimu Sahihi Atakayekufanya Ufaulu Mitihani Yako

Mwalimu Makoba

Ili uweze kufaulu mitihani yako, unahitaji mwalimu sahihi. Mwalimu sahihi ni yule mwenye ujuzi wa hali ya juu na mbinu nyingi katika masomo anayofundisha.

Natafuta Mwalimu Sahihi

Umempata Mwalimu Makoba! Mwalimu ambaye amefundisha kwa miaka mingi na yupo tayari kukusaidia katika masomo ya Sanaa. Kwa masomo ya sayansi na biashara, atakupatia walimu sahihi wakufundishe.

Masomo yanatolewa kwa njia gani?

Masomo yanatolewa kwa kufika Kituoni au kwa njia ya Mtandao (Online).

Kwa wanafunzi walio nje ya Dar es Salaam au hawana muda wa kuja kituoni, masomo yanatolewa kwa njia ya mtandao (online).

Na kwa wale walio ndani ya jiji la Dar es Salaam, wanaweza kufika kituoni kwa Mwalimu Makoba, Kinondoni Manyanya.

Endapo unahitaji kufika kituoni kwa Mwalimu Makoba, wasiliana naye kwa namba: 0653 25 05 66 au 0754 89 53 21.

Kwa wanaohitaji kusoma kwa njia ya Online, Gusa Hapa kuwasiliana na Mwalimu Makoba.

Popular posts from this blog

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu

Uhakiki wa Tamthiliya ya Kilio Chetu

Jinsi ya Kuandika Barua ya Maombi ya Kazi Mwaka 2024