Jipime Maarifa yako kwa Kufanya Mitihani

Mwanafunzi akifanya mtihani

Kabla hujafanya mtihani wako wa mwisho, ni lazima ujipime kwa kufanya mitihani mingi.

Pia, pitia mitihani iliyopita (past papers) kwani humo utaweza kuona jinsi mitihani inavyotoka.

Kujipima kwa kufanya mitihani, kutakufanya uwe na uzoefu wa mitihani na uweze kurekebisha makosa yako kabla mtihani wa mwisho haujafika.

Endapo unahitaji mitihani ya kujipima, jipatie kwa kugusa hapa.


Comments

Popular posts from this blog

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu

Jinsi ya Kuandika Barua ya Kirafiki

Uhakiki wa Riwaya ya Watoto wa Maman’tilie