Matokeo ya Kidato cha Nne 2019

Mwalimu Makoba

Gusa Hapa Kuona Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne

Juu ni 'link' yenye matokeo ya kidato cha nne. Kama umefaulu, hongera sana. lakini kama hukufanikiwa kufaulu, usiwe na shaka. bado una nafasi ya kujaribu tena.

Wapo waliofaulu kwa kufanya mtihani mara moja. Lakini wengi waliofaulu, wamerudia mara nyingi. Hivyo kama hukufanya vizuri, jiamini kuwa, una nafasi ya kurudia tena mtihani wako.

Kwa wanafunzi waliofaulu, wanaweza wakaenda vyuoni au wakaendelea na kidato cha tano na sita. Ni uchaguzi wao juu ya njia wanayotaka kupita. Ushauri wangu ni kwamba, waendelee mbele kielimu na wasiishie hatua ya kidato cha nne.

Kwa wanafunzi ambao hawakufaulu, iwe kwamba ndiyo kwanza umefanya mtihani au umefanya mtihani wako mara nyingi usikate tamaa. Rudia tena, safari hii unapo rudia hakikisha una fundishwa na walimu sahihi, unasoma 'notes' sahihi, unafanya mitihani ya kujipima, na unajisomea wewe mwenyewe.

Endapo unahitaji kufundishwa na Mwalimu Makoba, ama kununua 'notes' zake au chochote kutoka kwake, wasiliana naye kwa namba: 0754 89 53 21 au 0653 25 05 66.

Popular posts from this blog

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu

Jinsi ya Kuandika Barua ya Maombi ya Kazi Mwaka 2023

Uhakiki wa Riwaya ya Watoto wa Maman’tilie