Huduma ya 'Typing' kwa Wanafunzi wa Chuo
Pata huduma ya 'kutaipiwa' kazi yako ya darasani na professional 'Typist' wetu.
Nawezaje kutaipiwa kazi yangu?
Andika kazi yako katika karatasi. Piga picha karatasi hizo zenye maandishi kisha zitume kwa njia ya WhatsApp kwenda namba ya Mwalimu Makoba ambayo ni: 0653 250 566. Typist ataziandika na kukutumia zikiwa katika word tayari kwa 'kuprint'.
Gharama kwa kila 'page' (ukurasa) ni Shilingi 1000 (elfu moja) tu.
Okoa muda kwa kutumia teknolojia sasa.