Jaribio la Kiswahili| Kidato cha Kwanza | past paper

MUDA: SAA 01:00
MAELEKEZO
1.   Mtihani huu una sehemu A na B.
2.   Jibu maswali yote.
3.   Simu za mkononi na vifaa vingine vinavyohusiana navyo haviruhusiwi ndani ya chumba cha mtihani.

SEHEMU A
1.   Andika kweli kwa kauli ya kweli na si kweli kwa kauli ambayo si ya kweli.
i.             Nomino ni aina ya neno ambayo hutoa taarifa kuhusu kitenzi.
ii.            Wataalamu wa isimu ya lugha wanabishana kuhusu idadi ya aina za maneno, wapo wanaosema kuna aina nane, saba na tisa.
iii.           Kitenzi hakina maana yoyote inayoeleweka.
iv.          Kielezi huelezea kuhusu kitenzi kilivyotendeka.
v.           Vihisishi ni aina ya maneno ambayo hugusa vionjo vya moyo.
SEHEMU B
2.   Andika hadithi kuhusu kisa kisemacho JEURI ILIMPONZA CHURA.

                                                       TAMATI

Mwalimu Makoba

Popular posts from this blog

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu

Jinsi ya Kuandika Barua ya Maombi ya Kazi Mwaka 2024

Vichekesho vya Kuchekesha na Kuvunja Mbavu 1