NAFASI ZA PRE FORM ONE KWA WANAFUNZI WALIOMALIZA DARASA LA SABA

pre form one kwa wanafunzi waliomaliza darasa la sabaMasomo ya Pre - form one yameanza kwa wanafunzi waliomaliza darasa la saba. Wazazi na walezi mnatangaziwa kuwaandikisha watoto wenu kituoni kwetu, SAMATA EDUCATION CENTRE.

Pia, Tunafundisha wanafunzi wote kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita. Kwa masomo yote ya sayansi, Sanaa na biashara. Vilevile nafasi chache zipo kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya msingi. Tupo kinondoni Mwananyamala mkabala na shule ya Sekondari Kambangwa.

Mawasiliano: Call and WhatsApp 0754 89 53 21
                      Call only 0653 25 05 66

Popular posts from this blog

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu

Jinsi ya Kuandika Barua ya Maombi ya Kazi Mwaka 2023

Uhakiki wa Riwaya ya Watoto wa Maman’tilie