JIUNGE NA KUNDI LETU LA WHATSAPP UJIBIWE MASWALI YAKO YOTE!


Jiunge katika kundi la WhatsApp la ‘MwalimuMakoba online’ ukutane uso kwa uso na Mwalimu Makoba akiwa na wanafunzi wengine tayari kwa kuyajibu maswali yako.
Kundi hili linajumuisha wanafunzi kutoka nchi nzima na hata nje ya nchi. Na linaendesha mijadala mbalimbali ambayo ni msaada mkubwa kwa wanafunzi wanaotaka kufanikiwa katika masomo.

Jinsi ya kujiunga

Nitumie ujumbe wowote unaoomba kuunganishwa katika kundi hili kwenye namba 0754 89 53 21.
Kwa mfano: UNGA MWALIMU MAKOBA
Nami nitakuunganisha mara moja.

MWALIMU MAKOBA

Popular posts from this blog

Uhakiki wa Tamthiliya ya Kilio Chetu

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu

Jinsi ya Kuandika Risala | Kiswahili Kidato Cha Nne