VICHEKESHO 10 VILIVYOTUFIKIA WIKI HII

1. *ManπŸ‘³πŸΏ: Marry me?*
*WomanπŸ‘©πŸ»: Do you have a flat?🏑*
*Man:πŸ‘³πŸΏ No*.
*WomanπŸ‘©πŸ»: Do you have a* *Camry car?πŸš—*
*ManπŸ‘³πŸΏ: No.*
*WomanπŸ‘©πŸ»: How much is your salary?πŸ’΅πŸ’Έ*
*ManπŸ‘³πŸΏ: No salary, but I....!*
*WomanπŸ‘©πŸ»: No but Wat.... ! You have nothing. How can I marry you? Leave please b4 I open eye πŸ‘€for u!*
*ManπŸ‘³πŸΏ: But I have one estate🏘🏠🏯, 3 landed properties in GRA🏟🏟🏟, 3 FerrarisπŸš˜πŸš–πŸš˜, 2 PorschesπŸš™πŸš• and 2 G wagonπŸšπŸš“. Why do I still need to buy CamryπŸš—. How can I be paid salaryπŸ’ΈπŸ’΅ when actually I'm the BOSS...*
*WomanπŸ‘©πŸ»: that's why I told you to leave, cause am coming to your house myself to propose to you....*
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Pass to another group make them laugh
πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ off to another group.....
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
XXX

2. UJINGA WA NDOTO NDIO HUU
**Utaota umeokota dolla ukiamka empty
**Utaota umeokota dhahabu ukiamka kitandani patupu
**Dadadeeki Ota sasa Umekojoa,ukiamka Imooooo!!!
XXX
*_Mwalimu Wa Hesabu Aliingia Dalasani Na Akaanza Kumuuliza Juma Swali_*

Mwalimu:juu Ya Mti Kuna Ndege 20 Ukiichukua Bunduki Ukawapiga Ndege 2 watabaki wangapi?

Juma: hawata baki wote wataluka kwa kuogopa mlio wa bunduki

Mwalimu: hapana umekosa watabaki ndege 18 ILA nimependa ulivyojibu umewaza mbalii

Juma: sawa mwalimu nami naomba nikuulize swali

Juma: kuna wadada wawili walinunua chocklet mmoja akawa ananyonya mwingine akawa analamba we unahisi yupi ni mke wa mtu?

Mwalimu: nadhani mke wa mtu ni yule anaye nyonya

Juma: hapana mke wa mtu ni yule mwenye pete ya ndoa ila nimependa ulivyojibu umewaza mbaliii

Ukileta uchizi .....tunakusogezea ujingaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’€πŸ’€πŸ˜ŽπŸ˜Ž
XXX

3. KINGEREZA NI WITO NYIEEE:kuna jamaa flan alikua anauza mbuzi za kukunia nazi🌰.yani kibao cha naz. Ghafla mzungu akatokeza

MZUNGU:jamboo
JAMAA:jambo
MZUNGU:what is this my friend
JAMAA:this is goat for kwaru kwaru coconut,,,not goat meeeee

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†niokotwe kwa sufuria ya tui la nazi
XXX

4. Traffic mlevi alisimamisha gari moja, alikuwa anaendesha
mwanamke. Mama akapaki
pembeni akaona traffic anakuja
akiwa anayumba akajua yuko
bwax! Akafika mlangoni akamuuliza: mama naomba
leseni yako. Mama akasachi
kwenye mkoba wake
akatoa kioo kidogo cha
kujitazamia akampatia. Traffic
akakiangalia kwa muda wa dakika 2, akamwambia sasa si
ungesema kama wewe ni
traffic mwenzangu...! Haya
nenda.... Chezea konyagi wewe?
XXX

5. *Today I will be calling all the ants, rats, and cockroaches in my house for a meeting so we can discuss how we will be sharing the rent*. I don't know 🀷🏽‍♀ who owns the house 🏑 anymore.
XXX

6. *Anyone who is single in this group .Please inbox me....I'm selling a single bed☺πŸ›Œ*
XXX
 *Ukiona mpenzi wako mpya anataka kujua habari za mpenzi wako wa nyuma*

*Huyo hayupo kimapenzi ni mwandishi wa habari mwambie sikuwahi kurecord πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚*
XXX

7.  *JANA APA HOME JENERETA LILIWASHWA ACHA TUHANGAIKE KULIKUNA*

🚢🏽🚢🏽🚢🏽🚢🏽🚢🏽🚢🏽🚢🏽
XXX

8. *Hivi ongezeko la vijana wengi kuitana majembe unadhani litainua sekta ya kilimo nchini*??


Kuna sigara navuta hapaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
XXX

9. Boy:ww ni jua katika maisha yangu bila ww maisha yangu ni mazito kama wingu nene litandalo asubuhi ww upo ndani ya moyo wangu kama maji yatiririkayo kutoka mtoni kwenda baharini tafadhali nikubalie
Girl:Unanitongoza au unatabiri hali ya hewa?πŸ€’πŸ€’πŸ€’πŸ€’πŸ€’
XXX                      
10. Dada zangu ukipelekwa ukweni ukiwekewa nyama nneπŸ—πŸ—πŸ—πŸ— wee kula moja tu πŸ—huo ni mtegoπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ  
XXX 
Vichekesho hivi vyote vimechukuliwa kutoka mtandao wa WhatsApp. kwa bahati mbaya watunzi wake wengi hawafahamiki kwa sura wala majina. Wale wanaofahamika majina yao yamewekwa, na wasiofahamika, majina hayakuwekwa kuepusha wizi wa mawazo.

Popular posts from this blog

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu

Jinsi ya Kuandika Barua ya Maombi ya Kazi Mwaka 2024

Vichekesho vya Kuchekesha na Kuvunja Mbavu 1