Masomo kwa QT, Resiters na Wanafunzi Walio Shuleni

tunaftundisha wanafunzi wote kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita

Tunafundisha wanafunzi wote kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita. Kwa masomo yote ya sayansi, Sanaa na biashara. Pia nafasi chache zipo kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya msingi na wale wa chuo (Open University).

Tupo kinondoni Mwananyamala mkabala na shule ya Sekondari Kambangwa.

Kwa walio mbali, masomo kwa njia ya WhatsApp yanatolewa.

Mawasiliano: Call and WhatsApp 0754 89 53 21
                      Call and WhatsApp 0653 25 05 66
#MwalimuMakoba

Popular posts from this blog

Uhakiki wa Tamthiliya ya Kilio Chetu

Uhakiki wa Riwaya ya Watoto wa Maman’tilie

Uhakiki wa Riwaya ya Takadini