RIWAYA: MCHEZO WA JOGOO (sehemu ya kwanza)

Chekeche mzee wa miaka sabini na mitatu, mfupi kama kufuli, sura nyeusi ti mithili ya kipande cha giza, macho madogo yameingia ndani na pua kubwa pana iliyopulizia hewa sharubu za kambale zilizoota kiholela, chini ya sharubu palifuatiwa midomo midogo lakini iliyoongea mfululizo kama goma la mtaa, alikuwa akimalizia kufunga zipu ya suruali yake baada ya kumaliza kufanya zinaa na mke wa mwanajeshi!
Mayasa yeye alijilaza kivivu kwa uchovu wa ile shughuli ya mzee Chekeche, jicho lake halikukatika kumuangalia mzee yule.
          “Kazi yako sio ndogo Chekeche!” Alizungumza Mayasa.
          “Leo kawaida kabisa niite tena siku nyingine nikupe mpaka vya uvunguni kisura.”
Msichana hakujibu lolote, aliishia kucheka tu, hakuamini uwezo wa mzee Chekeche kunako sita kwa sita.
Mzee alikwisha maliza kuvaa suruali yake ya kuzinia, suruali ya jinsi na fulana iliyoandikwa ‘im not old, im experienced.’ Akasogea mpaka alipojilaza mrembo Mayasa na kumpa busu matata, lililomfanya Mayasa amng’ang’anie mzee, mzee akataka kujinasua, Mayasa akamkaba zaidi kisha akanong’ona, “usiwe na haraka mzee… nataka tena!” mzee Chekeche hakuwa mtu wa mchezomchezo, papo hapo mapigo ya moyo yakabadilika, akaivuta fulana yake juu, fulana ikatii, akaitupa chini akawa amebaki kifua wazi, Mayasa akaanza kupapasa kifua cha mzee, mzee hakujali, akaanza kuufungua mkanda wa suruali ili aweze kuuchomoa mpini, hatimaye suruali nayo ilishushwa chini, mzee akabaki akiwa na kaptura nyepesi, mpini ukiwa umesimama imara, Mayasa akaukamata vyema ukiwa bado umo katika kaptura, mzee akayapiga kofi jepesi makalio makubwa ya Mayasa, akazifakamia chuchu na kuanza kunyonya kama ndama, msichana aligugumia kwa raha. Sasa mzee hakutaka kulaza damu, akaipindisha kidogo kaptura yake na kuuchomoa mpini kisha akauelekeza kisimani, kabla haujafika mlango ukavunjwa, haraka mzee akapandisha kaptura yake na kusimama kwa hofu. Mayasa yeye alibaki mtupu akiwa hakumbuki alikoweka nguo.


Popular posts from this blog

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu

Jinsi ya Kuandika Barua ya Maombi ya Kazi Mwaka 2024

Uhakiki wa Riwaya ya Watoto wa Maman’tilie