KAMA UNA NDUGU YAKO ASIYEJUA KUSOMA
Kutokujua kusoma ni jambo linalokosesha watu maarifa
mengi. Kama una ndugu yako mtu mzima asiyejua kusoma mlete katika kituo chetu
tumfundishe kwa bei nafuu. Tupo kinondoni Mwananyamala mkabala na shule ya
Sekondari Kambangwa.
Mawasiliano: Call and WhatsApp 0754 89 53 21
Call only 0653 25 05 66