Mtaalamu wa kuendesha pikipiki

Mtaalamu wa kuendesha pikipiki


Alipotuona tuko wengi pembezoni mwa barabara, akaamua kutuonesha yeye ni nani? 

Kwa mkwara akaachilia mikono katika usukani! Watu wakashangilia. Shangwe zikamlevya mtaalamu huyu. Sasa akabinua tairi la mbele, pikipiki ikatembea kwa tairi moja. Mayowe yakaongezeka zaidi, mtaalamu akakoleza mbwembwe, akaamua kuendesha pikipiki akiwa kalala, ati akaamua kuulaza mgongo wake katika kiti cha kukaa abiria. Kabla hajainuka, gari kubwa la taka likamgonga yeye na pikipiki yake. MSIBA!

Popular posts from this blog

Uhakiki wa Tamthiliya ya Kilio Chetu

Uhakiki wa Riwaya ya Takadini

Uhakiki wa Riwaya ya Watoto wa Maman’tilie