MKUMBO KAWAPIGA KIKUMBO WAFUATA MKUMBO


Lile gwiji la kuikosoa serikali na kuusema ukweli wa mambo bila kupindisha wala kutafuna maneno, Profesa Kitila Alexander mwana wa Mkumbo, limeteuliwa kuongoza wizara ya serikali!

Uteuzi huu ni pigo kwa wasomi washereheshaji, walioamua kuyapachika maarifa yao kwapani na kusifia kila kitu lengo lao likiwa ni kujipendekeza ili wapewe vyeo. Wao husifia tu hata pale mambo yanapokuwa ' bahut buree shit Bashite' .

Sasa wametoka patupu! Upambe kwao umekuwa nuksi, wamedoda na kudorora. AIBU.

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu

Jinsi ya Kuandika Barua ya Kirafiki

Uhakiki wa Riwaya ya Watoto wa Maman’tilie