Matokeo ya Kidato cha Nne NECTA 2022

 

Jembe, koleo, kitabu na nyundo ambayo ni logo ya necta
Matokeo ya Necta kidato cha Nne na mtihani wa Maarifa mwaka 2022 yametoka siku ya Jumapili ya tarehe 29/01/2023.

Yatazame hapa: Matokeo ya Necta Kidato cha Nne 2022.

Na matokeo ya Mtihani wa Maarifa (QT) Yatazame Hapa.

Kwa wale ambao matokeo yao ni mazuri, nawapongeza na nashauri waendelee na hatua inayofuata. Kwa ambao matokeo yao siyo mazuri, wasikate tamaa na wanayo nafasi ya kurudia.

Popular posts from this blog

VICHEKESHO HIVI KIBOKO! SOMA KWA UANGALIFU USIVUNJE MBAVU ZAKO!

Vichekesho vya Kuchekesha na Kuvunja Mbavu 1

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu