Imetosha Kusoma Njoo Tufanye Solving ya Mitihani ya Taifa
Imetosha
Kusoma, Njoo Tupitie Mitihani ya Kidato cha Nne, Ufahamu Maswali yanavyotoka na
Jinsi Yanavyojibiwa.
Mwanafunzi aliyekamilika kufanya mtihani wa Taifa, hupitia hatua nne:
1.
Kufundishwa na walimu.
2.
Kujisomea mwenyewe.
3.
kufanya maswali na mitihani.
4.
Kupitia au kufanya solving ya mitihani ya Kidato cha nne.
Muda uliobaki kuelekea kufanya mtihani wa kidato cha nne, unastahili kufanya mambo mawili:
1.
Kujisomea kwa lengo la kujikumbusha.
2.
Kufanya solving.
Unahitaji
Solving? Wasiliana na Mwalimu Makoba kwa
Kugusa Hapa.