Vitabu Sahihi Vitakavyokufanya Ufaulu Mitihani Yako


Vitabu na simu

Ili uweze kufaulu mtihani, unahitaji kusoma vitabu sahihi.

Vitabu sahihi vina sifa zifuatazo:

1.   Vimeandikwa kwa kufuata silabasi.
2.   Vimetumia lugha rahisi.
3.   Vinaweza kujibu maswali mengi ya NECTA.
 

Utawezaje kutambua kuwa Vitabu ulivyonavyo siyo sahihi?

Hatua ya kwanza, chunguza kama unaposoma unaelewa au huelewi, endapo huelewi unaposoma, hicho siyo kitabu sahihi.

Hatua ya pili, chukua mtihani wowote wa NECTA. Tafuta majibu ya mtihani huo kwenye kitabu au notes ulizonazo, kama majibu mengi huyapati, achana na kitabu hicho, kitakufanya ufeli mtihani wako.

Endapo unahitaji vitabu sahihi vitakavyokufanya ufaulu mtihani wako, suluhisho limepatikana.

Vitabu vinapatikana katika mfumo wa nakala laini (soft copy) na nakala ngumu (hard copy).

Gharama ya nakala laini ni Tsh. 2,000/= kwa kitabu kimoja, na Tsh. 3,000/= kwa nakala ngumu.

Gusa Hapa kupata Vitabu sasa!
Share: