Matokeo ya Mtihani wa Maarifa QT 2019

Gusa Hapa Kuona Matokeo ya Mtihani wa Maarifa QT 2019

Mtihani wa QT, ni mtihani ambao humwandaa mwanafunzi aweze kufanya mtihani wa kidato cha nne. Kufaulu mtihani wa QT ni kama kuruhusiwa kufanya mtihani wa kidato cha nne.

Kwa aliyefaulu mtihani huu, safari bado ni ndefu, kwani anatakiwa sasa asome masomo marefu ya kidato cha nne.

kwa ambaye hakufaulu, asikate tamaa, ataweza kufaulu kwani mitihani ya QT unapoweka bidii huwa siyo migumu na ni lazima kufaulu.

Kwa aliyefaulu na anahitaji kusoma masomo ya kidato cha nne, anaweza kufundishwa na Mwalimu Makoba kwa njia ya 'online' kwa waliombali au kufika shuleni kwa walio Dar es Salaam.

Kwa aliyeshindwa mtihani, kama nilivyosema awali bado ana nafasi ya kurudia.

Wasiliana na Mwalimu Makoba kwa namba: 0754 89 53 21 au 0653 25 05 66.

Popular posts from this blog

Uhakiki wa Tamthiliya ya Kilio Chetu

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu

Jinsi ya Kuandika Hotuba