Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2019


Gusa Hapa Kuona Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2019
Wanafunzi watakaofaulu mtihani wa kidato cha pili, wataendelea kidato cha tatu. Huko watapata nafasi ya kufanya mtihani wa kidato cha nne.

Wanafunzi watakaoshindwa mtihani huu, wasikate tamaa, warudie darasa bila uoga. Ushauri wangu kwa wazazi ni kuwa, ili kuepusha matatizo ya kisaikolojia kwa watoto wao, wawahamishe shule na waende kurudia shule nyingine.

Pia, wazazi wasiwapige wala kuwasema vibaya watoto wao waliofeli, inawezekana akili hizo wamerithi kutoka kwa wazazi haohao, hivyo hakuna sababu ya kumhukumu mtoto kwa jambo ambalo hakupanga. Muhimu ni kuwapatia walimu wa ziada na kuwanunulia vitabu sahihi ikiwemo kuwaongeza muda wa kusoma zaidi. watafaulu.

Popular posts from this blog

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu

Jinsi ya Kuandika Barua ya Maombi ya Kazi Mwaka 2023

Uhakiki wa Riwaya ya Watoto wa Maman’tilie