Matokeo ya Darasa la Nne 2019

Gusa Hapa Kutazama Matokeo ya Darasa la Nne 2019

Wanafunzi watakaofanikiwa kufaulu mtihani huu, wataingia darasa la tano. Huko watasoma mpaka watakapokutana na mtihani wa darasa la saba.

Wanafunzi walioshindwa kufaulu mtihani huu, watarudia darasa la nne, watafanya tena mtihani na endapo watafaulu, wataweza kujiunga na darasa la tano.

Wazazi wa watoto waliofaulu, wawapongeze watoto wao kwa ufaulu. Pia, wazazi wa watoto walioshindwa kufaulu, wasiwatukane na kuwanyima amani watoto wao, kwani kuna uwezekano mkubwa, akili za watoto hao, wamerithi kutoka kwa wazazi wenyewe! Hivyo hakuna sababu ya kuwapiga wala kuwasema vibaya kwa mambo ambayo hawakuyapanga ikiwemo kurithi akili, bali kinachotakiwa kufanyika ni kuwatafutia walimu wa ziada na kuhakikisha wana vitabu sahihi na muda wa kusoma ili waweze kufaulu tena.

Popular posts from this blog

Jinsi ya Kuandika Barua ya Maombi ya Kazi Mwaka 2024

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu

Uhakiki wa Tamthiliya ya Kilio Chetu