Matokeo ya Kidato cha Sita 2019


Bofya hapa kuona matokeo

Juu ni 'link' ya matokeo ya mtihani wa kidato cha sita uliofanyika Mwezi May 2019. Matokeo hayo yapo kama matokeo mengine. Wapo waliofaulu, lakini pia, wapo waliofeli.

Waliofaulu hongera, mliofeli msikate tamaa. bado kuna nafasi. Inategemea na matokeo yako, unaweza ukarudia tena na ukafaulu kama walivyofaulu wengine. Kumbuka kuwa, si kila unayemuona amefaulu leo katika mtihani huu, ukadhani kaanza leo kufanya mtihani, wengine wamefanya mara tatu, mara nne na hata mara tano au hata zaidi ya hapo na sasa wamefaulu.

Kwa watakaokwenda chuo kikuu, watakao chukua diploma, waliotosheka na elimu hiyo ya kidato cha sita na watakao rudia na watakao fanya chochote kile, nawatakia kila la heri katika maamuzi yao.

Popular posts from this blog

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu

Jinsi ya Kuandika Barua ya Maombi ya Kazi Mwaka 2024

Uhakiki wa Riwaya ya Watoto wa Maman’tilie