Posts

Showing posts from September, 2018

History Online Examination for Form Four| Pre Necta7

Image
Endapo unataka kufanya mtihani huu ili usahihishwe na Mwalimu, zingatia mambo haya: 1. Mtu yeyote na kokote aliko anaruhusiwa kufanya mtihani huu. 2. Fanya mtihani huu kwa kutumia aina yoyote ya karatasi. 3. Ukimaliza, piga picha karatasi hizo kisha zitume WhatsApp kwenye namba ya Mwalimu Makoba, 0754 89 53 21. 4. Subiri mtihani wako usahihishwe, Urudishiwe na ufanyiwe masahihisho. 5. Gharama ya mtihani huu ni shilingi 2,000/= (elfu mbili). Namba za malipo ni: M – Pesa 0754 89 53 21 (Daud Mhuli) na Tigo pesa 0653 25 05 66 (Daud Makoba) “Kwa kuwa lengo la mtihani huu ni kutaka kujua uwezo na mapungufu ya mwanafunzi ili aweze kupewa mbinu mbadala za kumsaidia kufaulu mtihani wake wa mwisho, kuangalizia majibu hakuna faida yoyote kwani lengo la mtihani si kubaini nani atakuwa wa kwanza na yupi atakuwa wa mwisho!” Sasa fanya mtihani wako… SECTION A (20 Marks) 1.  For each of the items (i) (x), choose the correct answer from among the given alternatives and ...

Civics Online Examination for Form Four| Pre Necta3

Image
Endapo unataka kufanya mtihani huu ili usahihishwe na Mwalimu, zingatia mambo haya: 1. Mtu yeyote na kokote aliko anaruhusiwa kufanya mtihani huu. 2. Fanya mtihani huu kwa kutumia aina yoyote ya karatasi. 3. Ukimaliza, piga picha karatasi hizo kisha zitume WhatsApp kwenye namba ya Mwalimu Makoba, 0754 89 53 21. 4. Subiri mtihani wako usahihishwe, Urudishiwe na ufanyiwe masahihisho. 5. Gharama ya mtihani huu ni shilingi 2,000/= (elfu mbili) tu. Namba za malipo ni: M – Pesa 0754 89 53 21 (Daud Mhuli) na Tigo pesa 0653 25 05 66 (Daud Makoba) “Kwa kuwa lengo la mtihani huu ni kutaka kujua uwezo na mapungufu ya mwanafunzi ili aweze kupewa mbinu mbadala za kumsaidia kufaulu mtihani wake wa mwisho, kuangalizia majibu hakuna faida yoyote kwani lengo la mtihani si kubaini nani atakuwa wa kwanza na yupi atakuwa wa mwisho!” Sasa fanya mtihani wako… Spend not more than three hours Section A (20 Marks) 1.  For each of the items (i) - (x), choose the correct answer am...

Mfano wa Ngano, Vigano, Soga, Tarihi na Visakale

Image
Maana ya hadithi Awali ya yote, nitatoa maana ya hadithi kama ninavyoelewa mwenyewe katika fikra zangu… Hadithi ni masimulizi yanayowasilishwa kwa lugha ya nathari kuhusu watu, wanyama na kitu chochote kile kinachoelezeka. Kuna vipera vingi vya hadithi, ila vinavyoonekana kutambulika napengine kufundishwa zaidi ni: Ngano, vigano, soga, tarihi na visakale. Lengo la mada hii ni kutoa mfano wa kila kipera kati ya vipera hivyo vingi. Uko tayari kutazama mifano hii? Kama jibu ni ndiyo, endelea kusoma. Mfano wa ngano Upo utata wa kitaaluma katika kutoa maana ya ngano, kwani wengine husema ngano ndiyo hadithi, japo sikubaliani nao, naamini wana haki ya kusema hivyo - midomo ikikosa cha kutafuna, hufyatua maneno! Maana yangu, huenda ikautoa utata huo, ama ikauendeleza. Ngano ni utungo wenye visa vya kubuni ambao wahusika wake huwa ni wanyama. Hivyo unapoandika ngano, zingatia mambo haya: Hadithi yako iwe na wahusika wanyama. Iwe na funzo fulani. Iwe na mwanzo maalumu: Kwa m...

Literature in English Form Four Examination| Pre Necta2

Image
Endapo unataka kufanya mtihani huu ili usahihishwe na Mwalimu, zingatia mambo haya: 1. Mtu yeyote na kokote aliko anaruhusiwa kufanya mtihani huu. 2. Fanya mtihani huu kwa kutumia aina yoyote ya karatasi. 3. Ukimaliza, piga picha karatasi hizo kisha zitume WhatsApp kwenye namba ya Mwalimu Makoba, 0754 89 53 21. 4. Subiri mtihani wako usahihishwe, Urudishiwe na ufanyiwe masahihisho. 5. Gharama ya mtihani huu ni shilingi 2,000/= (elfu mbili) tu. Namba za malipo ni: M – Pesa 0754 89 53 21 (Daud Mhuli) na Tigo pesa 0653 25 05 66 (Daud Makoba) “Kwa kuwa lengo la mtihani huu ni kutaka kujua uwezo na mapungufu ya mwanafunzi ili aweze kupewa mbinu mbadala za kumsaidia kufaulu mtihani wake wa mwisho, kuangalizia majibu hakuna faida yoyote kwani lengo la mtihani si kubaini nani atakuwa wa kwanza na yupi atakuwa wa mwisho!” Sasa fanya mtihani wako… Section A (40 Marks)  Theories Of Literature Answer all questions 1.  Giving eight points, explain the importance o...

English Examination for Form Four| Pre Necta3

Image
Endapo unataka kufanya mtihani huu ili usahihishwe na Mwalimu zingatia mambo haya: 1. Mtu yeyote na kokote aliko anaruhusiwa kufanya mtihani huu. 2. Fanya mtihani huu kwa kutumia aina yoyote ya karatasi. 3. Ukimaliza, piga picha karatasi hizo kisha zitume WhatsApp kwenye namba ya Mwalimu Makoba, 0754 89 53 21. 4. Subiri mtihani wako usahihishwe, Urudishiwe na ufanyiwe masahihisho. 5. Gharama ya mtihani huu ni shilingi 2,000/= (elfu mbili) tu. Namba za malipo ni: M – Pesa 0754 89 53 21 (Daud Mhuli) na Tigo pesa 0653 25 05 66 (Daud Makoba) “Kwa kuwa lengo la mtihani huu ni kutaka kujua uwezo na mapungufu ya mwanafunzi ili aweze kupewa mbinu mbadala za kumsaidia kufaulu mtihani wake wa mwisho, kuangalizia majibu hakuna faida yoyote kwani lengo la mtihani si kubaini nani atakuwa wa kwanza na yupi atakuwa wa mwisho!” Sasa fanya mtihani wako… Section A (10 Marks) 1. Read the passage below carefully then answer the questions that follow. In the area where water is n...