Tangazo la Kazi| Anatafutwa Typist

Tangazo la Kazi| Anatafutwa Typist
Anatafutwa kijana mwenye uwezo wa 'kutype' kuchapa kazi mbalimbali.

Sifa za Mwombaji

1. Awe na umri kuanzia miaka 18 na kuendelea.

2. Ajue vyema kiingereza na kiswahili.

3. Elimu kuanzia kidato cha nne, sita na chuo.

4. Awe mjuvi katika matumizi ya mitandao ya kijamii hususani mtandao wa WhatsApp.

5. Awe na laptop au kompyuta itakayomwezesha kutype kazi atakazotumiwa.

6. Awe 'typist', ajue kutype kwa kutumia vidole vyote. Pia speed yake isiwe chini ya 28 WPM.

7. Awe raia wa Tanzania.

Tuma maombi yako ya kazi kwa njia ya WhatsApp kupitia namba: 0754 89 53 21.

Kinondoni Dar es Salaam.

Popular posts from this blog

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu

Jinsi ya Kuandika Barua ya Maombi ya Kazi Mwaka 2023

Uhakiki wa Riwaya ya Watoto wa Maman’tilie