Mazoezi 10 Yatakayoongeza Uwezo wa Akili Yako

Mazoezi 10 Yatakayoongeza Uwezo wa Akili Yako
Nimekuwa nikiulizwa na wanafunzi wangu wa 'online' na wale wa 'offline', "mwalimu, tufanye nini ili tuwe na akili?" Nami nimekuwa nikiwajibu, "akili unayo, ila unahitaji mambo kadha wa kadha kuifanya ifanye kazi sawasawa."

Unaouwezo wa kubadili namna akili yako inavyofanya kazi. Unaweza ukaitoa katika mwendo wa taratibu na kuiweka katika mwendo wa haraka.

Uwezo wa akili yako ni kitu muhimu zaidi kwa sababu akili ndiyo kila kitu kinachokufanya uitwe mwanadamu.

Leo nimekuja na majibu, miongoni mwa mambo ya kuzingatia ili kuongeza uwezo wa akili yako ni mazoezi haya: Kuongeza msamiati, kujenga picha ya mambo akilini, kuanzisha mazungumzo, kutabiri kitakachotokea baada ya muda fulani, kufanya mazoezi, kula vyakula sahihi, kuepuka ulevi, kupata usingizi wa kutosha angalau masaa sita na kusikiliza vyombo vya habari ili kuwa na uelewa wa dunia inavyokwenda.

Video hii inafafanua zaidi:


Popular posts from this blog

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu

Uhakiki wa Tamthiliya ya Kilio Chetu

Jinsi ya Kuandika Barua ya Maombi ya Kazi Mwaka 2024