TUNDU LISSU APIGWA RISASI, POLISI WAMETHIBITISHA

TUNDU LISSU APIGWA RISASI

Mbunge Tundu Lissu amepigwa risasi leo hii akiwa ndani ya gari nyumbani kwake. Kwa sasa bado yuko hospitali akiendelea na matibabu.
Jeshi la polisi limeeleza kuwa bado linaendelea na uchunguzi ili kuwabaini waliohusika na tukio hilo.

Mkuu wa mkoa naye alizungumza kuhusu upigwa risasi na kuwaomba wananchi kuwa na utulivu wakati huu ambapo uchunguzi unaendelea kufanyika.

NA: MOWASHA| NGEME...

Popular posts from this blog

Uhakiki wa Tamthiliya ya Kilio Chetu

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu

Jinsi ya Kuandika Risala | Kiswahili Kidato Cha Nne