HALI YA TUNDU LISSU BAADA YA KUTOLEWA RISASI 21

TUNDU LISSU BAADA YA KUTOLEWA RISASI 21


SIKU ya Alhamisi, mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, alishambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana. Baadaye alipelekwa Nairobi Kenya kwa ajili ya matibabu.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ameeleza kuhusu hali ya Tundu Lissu kuwa, anaendelea vizuri baada ya kufanyiwa upasuaji uliodumu kwa zaidi ya saa nne wakimwondolea risasi 21 zilizompata mbunge huyo.

Watu mbalimbali wamelaani kitendo cha kupigwa risasi kwa Tundu Lissu na wamekiita kitendo hicho kuwa ni unyama usiovumilika.

NA: MOWASHA| NGEME...Exciting

Popular posts from this blog

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu

Jinsi ya Kuandika Barua ya Maombi ya Kazi Mwaka 2023

Jinsi ya Kuandika Risala | Kiswahili Kidato Cha Nne