ALICHOKISEMA NDUGAI KUHUSU LISSU

spika wa bunge ndugai


Kuvamiwa kwa Mbunge wa Singida Tundu Lissu kumewaunganisha wabunge kuzungumzia suala hilo.
Spika wa Bunge Ndugai, amevitaka vyombo vinavyohusika na ulinzi na usalama wa nchi kukutana haraka ili kujadili muafaka wa amani.
“Hii ni mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu mbunge kupigwa risasi mchana tena wakati vikao vya bunge vikiendelea,” alisema Ndugai.

Pia imeelezwa kwamba kwa sasa hali ya mbunge Tundu Lissu inazidi kuimarika huko matibabuni Kenya.TAZAMA POVU LA MWALIMU MAKOBA KWA WASANII WAVAA HOVYO...

Popular posts from this blog

Jinsi ya Kuandika Barua ya Maombi ya Kazi Mwaka 2024

Jinsi ya Kuandika CV | Mfano wa CV Wasifu

Uhakiki wa Tamthiliya ya Kilio Chetu