Posts

History 2 Form Six Examination 2023 1

Image
Time: 03 Hours Instructions: This paper consist of seven questions. Answer a total of five question, question one is compulsory. Each question carries 20 marks. Cellular phone and any unauthorized materials are not allowed in the examination room. Write your examination number on every page of your answer sheet(s). Answer five questions, question one is compulsory. 1.  In six points, show the contribution of Africans in the development of capitalism in Western Europe. 2. Analyze six aims of the French Revolution of 1789. 3.  Alliance systems of ‘armed camp’ in Europe were inevitable. Substantiate this statement by giving six points. 4.  In six points, analyze the causes of the Chinese communist revolution. 5.  Assess the impact of US relations with Japan after the second world war. (Give six points). 6.  Analyze the factors leading to camp David and the Egyptian - Israel peace (1978-79) between Israel and PLO. (Give six points). 7.  Discuss three reasons for Brandt report (1980) on t

Matokeo ya Kidato cha Nne NECTA 2022

Image
  Matokeo ya Necta kidato cha Nne na mtihani wa Maarifa mwaka 2022 yametoka siku ya Jumapili ya tarehe 29/01/2023. Yatazame hapa: Matokeo ya Necta Kidato cha Nne 2022 . Na matokeo ya Mtihani wa Maarifa (QT) Yatazame Hapa . Kwa wale ambao matokeo yao ni mazuri, nawapongeza na nashauri waendelee na hatua inayofuata. Kwa ambao matokeo yao siyo mazuri, wasikate tamaa na wanayo nafasi ya kurudia.

History 1 Form Six Examination 2023 1

Image
Time: 3 Hours Instructions: 1. This paper consist of seven questions. 2. Answer a total of five questions. Question one is compulsory. 3. Each question carries twenty marks. 4. Cellular phones and any unauthorized materials are not allowed in the examination room. 5. Write your examination number on every page of your answer booklet. Answer five questions. Question one (1) is compulsory. 1.  In six points assess why the pre-colonial African societies did not develop the slave mode of production. 2.  In six points, give reasons for the development of African political organizations in different societies across time. 3.  By the 15 th  Century, Africa and Europe involved in trade. Analyze six impact of the 15th century trade on political social and economic systems in both Western Europe and Africa. 4.  The word ‘manifestation' means to create something or turn something from an idea into a reality. In six points, explain the manifestation of black solidarity. 5.  Show how colonial

Fasihi ya Watoto na Vijana | KF 203

Image
Fasihi ni Sanaa ambayo hutumia lugha kuwasilisha ujumbe uliokusudiwa. Fasihi ya watoto na vijana ni aina ya sanaa ambayo inatumia lugha kufikisha ujumbe kwa watoto na vijana. Mtoto ni nani? Linaweza kutafsiriwa kwa kutumia vigezo mbalimbali vya kimuktadha: Kiimani Kibaiolojia na  Kiumri Wafura (2011) amegawanya watu katika makundi manne: i. 0-17 watoto ii. 18-34 vijana iii. 35-52 utu uzima iv. 53 na kuendelea, wazee Mamlaka za kiserikali na mashirika mbalimbali yanamtambua mtoto kuwa mtu yeyote ambaye ana umri wa chini ya miaka 18. Kuna watoto wadogo na watoto wakubwa (vijaluka). Vijaluka ni watoto wakubwa ambao wako katika umri wa kujitambua. Mtazamo mwingine kuhusu fasihi ya watoto: Wamitila (2008) anasema suala la ufafanuzi wa fasihi ya watoto linaweza kueleweka kwa kutumia mitazamo miwili: i. Kuwalenga watoto kama hadhira. ii. Ni ile ambayo maudhui na dhamira zilizopo zinawarejelea watoto. Mtazamo mwingine: Ni aina ya sanaa ambayo watumizi wake

Uhakiki wa Wimbo Baba wa Stamina Akimshirikisha Profesa Jay

Image
Swali Kwa kutumia wimbo wa BABA ulioimbwa na Stamina akimshirikisha Profesa J, fanya uhakiki wa muziki huo ukizingatia vipengele vya Fani na Maudhui huku ukionyesha mifano ya maneno yaliyotumika katika wimbo kumdhalilisha mwanaume. Jibu Wimbo Baba ulioimbwa na mwanamuziki Stamina akimshirikisha Profesa Jay na One Six, ulitoka mwaka 2021 mwezi Januari. Mwezi uliofuata, mwezi Februari, marehemu na aliyekuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Joseph Magufuli, alitinga katika studio za TBC na kuomba apigiwe wimbo huo. Kitendo hicho kiliufanya wimbo huo uzidi kupata umaarufu zaidi ya ulivyokuwa na pengine kuwafikia watu wengi zaidi. Baba ni wimbo wenye majibizano ya pande mbili: mtoto na baba yake. Mtoto anamlaumu baba kuwa, yeye ndiye sababu ya maisha ya mtoto kuwa mabaya. Baba naye anazikataa lawama hizo kwa kusema kuwa maisha magumu anayopitia mtoto huyo kayasababisha mtoto mwenyewe. Katika wimbo huu, tutachambua vipengele vya fani na maudhui halafu tutaeleza mi

Mtihani wa Kiswahili Kidato cha Nne 2022 1

Image
Endapo Unahitaji Kufanya Mtihani Huu ili Usahihishwe, Wasiliana na Mwalimu Hapa Muda: Saa 3 Maelekezo 1. Karatasi hii ina sehemu A, B na C zenye jumla ya maswali kumi na mbili (12). 2. Jibu maswali yote katika sehemu A na B na maswali matatu kutoka sehemu C. 3. Sehemu A ina alama 15, sehemu B alama 40 na sehemu C alama 45. 4. Zingatia maelekezo ya kila sehemu na ya kila swali. 5. Simu za mkononi na vitu vyote visivyoruhusiwa havitakiwi katika chumba cha mtihani. Sehemu A (Alama 15) Jibu maswali yote katika sehemu hii. 1.    Chagua herufi ya jibu sahihi katika Vipengele (i) hadi (x), kisha andika herufi ya jibu hilo kwenye kijitabu chako cha kujibia. i.         Ipi ni seti sahihi ya vipera vya fasihi simulizi? A. hadithi, semi na mizungu   B. hadithi, semi na vitendawili        C. hadithi, semi na mafumbo    D. mafumbo, ngomezi na bembea E. Hadithi, semi na ushairi ii.         Dhima kuu ya rejesta katika lugha ni ipi? A. kutangaza lugha duniani kote     B. Kut