Posts

Showing posts with the label vyuo

Dhana ya Uolezi Inavyojitokeza Katika Lugha ya Kiswahili

Image
Swali Fasili dhana ya uolezi kisha ufafanue kwa ufasaha unavyokitokeza katika lugha ya Kiswahili. Jibu Kwa mujibu wa Resani (2014), Uolezi ni istilahi iliyoazimwa kutoka lugha ya Kigiriki yenye maana ya kuashiria kwa kutumia lugha. Ni kipashio muhimu cha kipragmatiki cha kuwakilisha lugha na miktadha ya kiusemi. Akifafanua zaidi kuhusu dhana ya uolezi, mwandishi anaeleza: Katika isimu, uolezi ni dhana inayotumiwa kurejelea hali ambayo, ili mtu aweze kuelewa maana ya maneno fulani na virai fulani vilivyotumiwa katika tamko fulani, basi hana budi kuuelewa muktadha ambamo msemaji na wasemeshwaji huwa. Maneno ambayo yana maana thabiti ya kisemantiki, lakini vilevile yana maana halisi ambayo hudabilikabadilika kutegemea wakati au mahali, basi yana sifa ya uolezi. (Resani, 2014:79) Uolezi ni uonyeshaji maalumu wa vitu, mahali, watu, hali au uelekeo katika muktadha husika wa mazungumzo (Makoba, 2018). Si rahisi kwa mtu asiyeelewa muktadha husika kujua ni kitu gani kinarejelewa

EP 306 Counseling and Special Needs Education

Image
Important terms Exceptional children. Disability. Handicap. At risk. a.    Exceptional children Children whose physical or learning attributes deviate from the norm (above or below) to such an extent that special educational programming is required to meet their special needs. Example: I.         Mental attributes Gifted and talented Mental intellectual disability. II.         Physical deviations Physical disability. Other health impairment. b.    Disability Refer to reduced function or loss of a particular body part of an organism which limit the ability to perform tasks as other people do. Example to see, walk, hear, synonymous with impairment. c.    Handicap Problems a person with disability encounters in interacting with the environment. A disability may pose a handicap in one environment and not in another. d.    At risk Term used for children who are not yet identified as having a disability but who are considered to have a greater than usu