VICHEKESHO 10 VILIVYOTUFIKIA WIKI HII

1. *A successful man is the one who makes more money than his wife can spend*. *A SUCCESFUL WOMAN IS THE ONE WHO CAN FIND SUCH A MAN* π #funnyquote XXX 2. Mchaga hata apate kazi bank bado atasema yupo kibaruani. Acha sasa mhaya apate kazi katka mashine ya kusaga na kukoboa; utaskia i work as a crucial engineer in a monocotyledon finalizing company ππππ #sijamtaja_mtu. XXX 3. *SAMAHANI NILIKUWA NAULIZA HIVI MATEMBELE KWA KIINGEREZA YANAITWAJE* π€π€π€ XXX 4. Angalia wadada walivyoumbuka kwenye hii test Ticha katangaza test , Akatoa Masharti; Ukiandika jibu hamna kufuta au kukata. Swali la 1: Taja vyakula vitatu ambavyo ukienda hotelini umelipiwa utapenda kula (marks 1) WAVULANA wakajaza; wali, ugali, mihogo. WADADA wakajaza; burger, pizza, egg chop. Swali la 2: Eleza jinsi ya kupika kila chakula ulichotaja hapo juu. (marks 99) Wacha wadada waanze kuhangaika kufuta majibu ya mwanzo! ππππππππ