Posts

Showing posts with the label matangazo

NAFASI ZA PRE FORM ONE KWA WANAFUNZI WALIOMALIZA DARASA LA SABA

Image
Masomo ya Pre - form one yameanza kwa wanafunzi waliomaliza darasa la saba. Wazazi na walezi mnatangaziwa kuwaandikisha watoto wenu kituoni kwetu, SAMATA EDUCATION CENTRE. Pia, Tunafundisha wanafunzi wote kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita. Kwa masomo yote ya sayansi, Sanaa na biashara. Vilevile nafasi chache zipo kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya msingi. Tupo kinondoni Mwananyamala mkabala na shule ya Sekondari Kambangwa. Mawasiliano: Call and WhatsApp 0754 89 53 21                       Call only 0653 25 05 66

ALICHOKISEMA NDUGAI KUHUSU LISSU

Image
Kuvamiwa kwa Mbunge wa Singida Tundu Lissu kumewaunganisha wabunge kuzungumzia suala hilo. Spika wa Bunge Ndugai, amevitaka vyombo vinavyohusika na ulinzi na usalama wa nchi kukutana haraka ili kujadili muafaka wa amani. “Hii ni mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu mbunge kupigwa risasi mchana tena wakati vikao vya bunge vikiendelea,” alisema Ndugai. Pia imeelezwa kwamba kwa sasa hali ya mbunge Tundu Lissu inazidi kuimarika huko matibabuni Kenya. TAZAMA POVU LA MWALIMU MAKOBA KWA WASANII WAVAA HOVYO...

HALI YA TUNDU LISSU BAADA YA KUTOLEWA RISASI 21

Image
SIKU ya Alhamisi, mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, alishambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana. Baadaye alipelekwa Nairobi Kenya kwa ajili ya matibabu. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe , ameeleza kuhusu hali ya Tundu Lissu kuwa, anaendelea vizuri baada ya kufanyiwa upasuaji uliodumu kwa zaidi ya saa nne wakimwondolea risasi 21 zilizompata mbunge huyo. Watu mbalimbali wamelaani kitendo cha kupigwa risasi kwa Tundu Lissu na wamekiita kitendo hicho kuwa ni unyama usiovumilika. NA: MOWASHA| NGEME... Exciting

TUNDU LISSU APIGWA RISASI, POLISI WAMETHIBITISHA

Image
Mbunge Tundu Lissu amepigwa risasi leo hii akiwa ndani ya gari nyumbani kwake. Kwa sasa bado yuko hospitali akiendelea na matibabu. Jeshi la polisi limeeleza kuwa bado linaendelea na uchunguzi ili kuwabaini waliohusika na tukio hilo. Mkuu wa mkoa naye alizungumza kuhusu upigwa risasi na kuwaomba wananchi kuwa na utulivu wakati huu ambapo uchunguzi unaendelea kufanyika. NA: MOWASHA| NGEME...

MAJARIBIO YA KOMBORA LA KOREA YASABABISHA MADHARA

Image
Picha za Satelite zilizopigwa, zimetoa majibu juu ya madhara yaliyosababishwa na majaribio hayo. Korea kasazini ambayo ni kinara wa majaribio ya makombora ya Nyuklia, imesababisha mmomonyoko mkubwa wa ardhi ukiambatana na utelezi. Korea ya Kaskazini imefanya majaribio sita ya nyuklia . Taarifa zimethibitisha kuwa, picha za hivi karibuni zinaonyesha mmomonyoko mkubwa wa udongo na utelezi katika maeneo yalikotumwa makombora. Uharibifu huo umetokea katika eneo la mlima Mantap. Pia wataalamu wameeleza hali hiyo inaweza kusababisha mlipuko wa volcano. Korea Kaskazini imekuwa ikiendesha majaribio mengi ya Nyuklia suala ambalo haliungwi mkono na mataifa mengi ikiwemo Marekani. IMEANDIKWA NA: MOWASHA| NGEME

SERIKALI YAOMBWA KUAJIRI WAALIMU

Image
Huko Mwanza Serikali imetakiwa kuajiri waalimu wa kutosha ambao watasaidia vyuo mbalimbali kufikia viwango vya ufundishaji. Haya yamejiri baada ya kuwepo kwa madai ya muda mrefu katika vyuo vya mafunzo ya wauguzi na wakunga (Manesi). Vyuo mbalimbali vya utoaji wa mafunzo haya nchini vina upungufu mkubwa wa waalimu jambo linalorudisha nyuma ufanisi na ubora wa elimu inayotolewa. Mkurugenzi mtendaji wa chuo cha mafunzo ya uuguzi, Ndemetria Vermand alisema: “Ni kweli vyuo vyote binafsi na visivyo binafsi vina uhaba wa walimu, lakini tatizo hili ni kubwa zaidi kwa vyuo vya serikali.” Alizidi kusisitiza hayo kuwa, utoaji wa huduma hizi utasaidia katika ubora elimu ya afya inayotolewa nchini. Mdau mwingine wa huduma za afya, Molland Makamba alisema kuwa kuna vyuo 161 vya mafunzo ya Uuguzi na kati ya hivyo, 77 vinamilikiwa na serikali. Hayo yote yalijiri katika hafla ya utoaji wa vyeti na tuzo kwa wafadhili watatu wa USAID ambao wamekuwa wakisaidia vyuo vya mkoani Mara na Kag

ROONEY KICHWA NGUMU, AVUNJA SHERIA ZA NCHI YAKE

Image
Rooney ndani ya gari lake Mshambuliaji wa Everton, Wayne Rooney, amejikuta matatani baada ya kuangukia mikononi mwa polisi. Wanausalama hao wamesema mwanasoka huyo alikamatwa siku ya Ijumaa kwa kosa la kuendesha gari akiwa amelewa jambo ambalo ni kinyume cha sheria za Uingereza. Rooney ambaye anashikilia rekodi ya kuwa na magoli mengi katika timu yake ya zamani ya Manchester United, alikamatwa na Polisi karibu na nyumbani kwake huko Cheshire. Huu ni mwendelezo wa makosa  ya staa huyo wa soka kwani siku chache zilizopita aliingia mikononi mwa polisi kwa kosa la kuendesha kwa mwendo mkali zaidi ya viwango vilivyowekwa. Ukiachilia mbali kesi hizo, mwanasoka Rooney ametangaza kustaafu kuichezea timu yake ya taifa aliyoipatia mafanikio makubwa ikiwemo kuifungia magoli 53 katika michezo 119 aliyocheza. NA: MOWASHA| NGEME

KOLABO YA CHID BENZ NA TUPAC ILIVYOJADILIWA MITANDAONI

Image
Chid Benz ameamsha hisia za watu mbalimbali, maarufu na wasiomaarufu baada ya kudai amemshirikisha marehemu Tupac Shakur katika wimbo wake mpya na hivi karibuni atamleta nchini hapa ili watu wamuone. Alizidi kueleza kuwa, Tupac hajafa bali yuko Cuba na huko ndiko alikofanikiwa kufanya naye Kolabo hiyo ya wimbo anaotarajia kuuachia. KIKI AU MADAWA Baada ya video hiyo kuonekana, watu mbalimbali wametoa maoni yao kuwa inawezekana amefanya hivyo akiwa na akili zake timamu kwa lengo la kupata ‘kiki.’ Wengine wametupia lawama madawa ya kulevya kwani Chid ameshindwa kabisa kuachana na matumizi ya madawa. WALICHOANDIKA MASTAA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII “Msipowapandisha hawa watu (Chid Benz na Tupac) Fiesta hatutaelewana.” Edo Kumwembe. Naye msanii Madee aliandika msimamo wake kuwa, ndiyo sababu kubwa huwa hataki hata kuvuta sigara. Itakumbukwa kuwa, siku chache zilizopita Chid alikamatwa kwa sakata la madawa ya kulevya na kuwekwa chini ya uangalizi mkali wa mahakama. Una

ALICHOKIANDIKA MMILIKI WA MTANDAO WA FACEBOOK

Image
Mark Zuckerberg ambaye ni mmiliki wa mtandao wa facebook na baba wa watoto wawili aliowapata kwa mwenzi wake Priscilla Chan, amezua gumzo mtandaoni baada ya kuianika barua ambayo amemwandikia binti yake. Katika barua hiyo, Mark amemtaka binti yake awe anatoka nje kucheza ili kuyafurahia maisha ya utoto. Pia, amemsihi binti yake afanye mazoezi ya kukimbia kuzunguka sebule na akipenda atoke nje kucheza atakavyo. Barua iliendelea kusema kuwa, utoto upo mara moja tu, hivyo ni busara kuufurahia na kuepuka kuwaza kupita kiasi. GUMZO LAIBUKA MITANDAONI Wake kwa waume wametoa maoni yao kuhusiana na barua hiyo ya Mark kwa binti yake. Wanaume wameonekana kucharuka zaidi huku wengi wao wakipanga mikakati ya kumuwinda atakapotoka ili waweze kuwa wakwe wa bilionea Mark Zuckeberg mmiliki na mwanzilishi wa mtandao wa kijamii wa facebook. Unalizungumziaje hili?  Shusha comment yako…

BARCELONA YAKUMBWA NA SHAMBULIO LA UGAIDI

Image
Askari wakiwa eneo la tukio Basi dogo limeripuka katika kundi la wapita njia Barcelona , Hispania. Mlipuko huo umesababisha majeruhi na vifo kadhaa. Askari wamesema, basi hilo limesababisha vifo vya watu 13 na majeruhi 80. Vyombo vingi vya habari vimeripoti kuhusu tukio hilo. Askari wamethibitisha kwamba, hilo ni shambulio la Ugaidi. Waziri mkuu wa Hispania, Mariano Rajoy Brey akitumia mtandao wa ‘twitter’, amewapa pole majeruhi wote na kuwataka askari wafanye kazi kwa weredi ili kuhakikisha wahalifu hao wanatiwa nguvuni. Wamiliki wa vyombo vya usafiri wameomba kusitisha usafiri katika eneo lilipotokea shambulio na wanawaomba watu wasikae mahali hapo. Pia, askari wamewaomba watu wote kutokutuma picha za shambulio hususani zile zinazowaonesha majeruhi. IMEANDIWA NA: MOWASHA / NGEME

HII HAPA ‘TWEET’ YA OBAMA ILIYOONGOZA KWA ‘LIKES’

Image
Hii ni Tweet ambayo imeongoza kwa kupata ‘likes’ nyingi zaidi katika mtandao wa ‘twitter’. Katika ‘tweet’ hiyo, Obama amenukuu maneno matatu yaliyowahi kusemwa na rais  wa zamani na mpigania uhuru wa Afrika ya Kusini – Nelson Mandela. Pia ‘tweet’ hiyo, ina picha ya Obama akiwa na watoto wenye asili tofauti, wakitabasamu kwa pamoja. Kwa sababu ya uvamizi uliotokea Charlottesville, Virginia, imepata zaidi ya ‘likes’ milioni tatu. Picha inayoambatana na ‘tweet’ hiyo ilipigwa mwaka 2011 na aliyekuwa mpiga picha wa ikulu, Pete Souza. ‘Tweet’ hiyo inasema, ‘hakuna mtu aliyezaliwa akimchukia mtu kwa sababu ya rangi yake ya ngozi, historia au dini yake. IMEANDIKWA NA MOWASHA/NGEME| KWA MSAADA WA MTANDAO

KWA WANAFUNZI WANAOTARAJIA KUFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE

Image
Ili kuhakikisha unajiandaa vyema na mtihani wako wa mwisho, tumeamua kutoa huduma ya ku ‘solve’ ‘past papers’ za mitihani yote ya ‘necta’, na pia, tunafanyisha mitihani yenye mfumo wa ‘necta’ kwa masomo yote ili ujipime na ujione upo wapi katika ujifunzaji. Tupo kinondoni Mwananyamala mkabala na shule ya Sekondari Kambangwa. Mawasiliano: Call and WhatsApp 0754 89 53 21                        Call only 0653 25 05 66

Masomo kwa QT, Resiters na Wanafunzi Walio Shuleni

Image
Tunafundisha wanafunzi wote kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita. Kwa masomo yote ya sayansi, Sanaa na biashara. Pia nafasi chache zipo kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya msingi na wale wa chuo (Open University). Tupo kinondoni Mwananyamala mkabala na shule ya Sekondari Kambangwa. Kwa walio mbali, masomo kwa njia ya WhatsApp yanatolewa. Mawasiliano: Call and WhatsApp 0754 89 53 21                       Call and WhatsApp 0653 25 05 66 #MwalimuMakoba

KAMA UNA NDUGU YAKO ASIYEJUA KUSOMA

Kutokujua kusoma ni jambo linalokosesha watu maarifa mengi. Kama una ndugu yako mtu mzima asiyejua kusoma mlete katika kituo chetu tumfundishe kwa bei nafuu. Tupo kinondoni Mwananyamala mkabala na shule ya Sekondari Kambangwa. Mawasiliano: Call and WhatsApp 0754 89 53 21                        Call only 0653 25 05 66

ENGLISH COURSE KWA MIEZI MITATU

Image
Tunafundisha Kiingereza cha kuongea na kuandika kwa gharama nafuu na uhakika. Tupo kinondoni Mwananyamala mkabala na shule ya Sekondari Kambangwa. Walio mbali na wasioweza kufika kituoni, masomo kwa njia ya WhatsApp yanatolewa. Mawasiliano: Call and WhatsApp 0754 89 53 21                         Call and WhatsApp  0653 25 05 66 #MwalimuMakoba.

JIFUNZE KOMPYUTA KWA WIKI TATU

Image
Tunafundisha Kompyuta kwa program za, MS WORD, ACCESS, EXCELL, POWERPOINT, INTERNENT AND E-MAIL, PUBLISHER n.k, kwa muda wa wiki tatu tu, vyeti vitatolewa kwa watakao hitimu. Tupo kinondoni Mwananyamala mkabala na shule ya Sekondari Kambangwa. Mawasiliano: Call and WhatsApp 0754 89 53 21                        Call only 0653 25 05 66

‘SHARE’ MAKALA ZETU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII TUKULIPE!

Image
Usiishie kupata ‘like’ nyingi zisizokunufaisha kwa lolote, zigeuze ‘like’ zako kuwa pesa. Unawezaje kulipwa kupitia ‘like’ zako? Unaweza kulipwa pale unapo ‘share’ chochote kutoka blogu ya mwalimumakoba.blogspot.com . kwa kila ‘like’ 200 utalipwa shilingi 2,000 (elfu mbili). Hivyo kwa kila ‘like’ moja utakayopata, ikiwemo ‘like’ yako, utalipwa shilingi 10. Hata hivyo, pungufu ya ‘like’ 200 haitalipwa chochote. Jinsi ya ku ‘share’ makala zetu Hatua ya kwanza. Ingia katika blog ya mwalimumakoba.blogspot.com . Chagua makala yoyote utakayoipenda, inaweza kuwa riwaya, notsi za darasani, vichekesho au chochote utakachoona kinafaa. Hatua ya pili. Ifungue habari hiyo kisha shuka mpaka chini utaona ‘button’ ya ku ‘share’, ‘share’ habari uliyoichagua katika mtandao wa ‘facebook’. Endapo utashindwa ku ‘share’ kwa njia hiyo, tumia njia hii. Chagua makala unayoitaka, kama unatumia simu, kandamiza kwa muda kichwa cha makala, yatakuja maneno, bofya kwenye ‘copy link address’ kisha nend