Mtihani wa Kiswahili 2 kwa Wanafunzi wa Kidato cha Sita 2

Endapo unataka kufanya mtihani huu ili usahihishwe na Mwalimu, zingatia mambo haya: 1. Mtu yeyote na popote alipo anaruhusiwa kufanya mtihani huu. 2. Fanya mtihani huu kwa kutumia aina yoyote ya karatasi. 3. Ukimaliza, piga picha karatasi hizo kisha zitume WhatsApp kwenye namba ya Mwalimu Makoba, 0754 89 53 21. Bofya hapa kusoma maelekezo yote. Muda: Saa 3 Sehemu A (Alama 20) Fasihi kwa Ujumla 1. Kwa kutumia mifano katika jamii ya Tanzania, jadili mambo manne muhimu yanayoweza kumfanya mwandishi apoteze uhuru wake. 2. Ni kwa namna gani fasihi inatofautina na sanaa zingine kama ususi, uchongaji na uchoraji. Toa hoja tano. Sehemu B (Alama 20) Ushairi 3. “Washairi wengi huimarisha jamii zao kwa kuyataja maovu.” Tetea usemi huu kwa kutoa hoja nne kwa kila kitabu katika diwani mbili ulizosoma. 4. “Viongozi hawana huruma na watu wao.” Jadili ukweli wa kauli hii kwa kutoa hoja nne kwa kila kitabu katika diwani mbili ulizosoma. Sehemu C (Alama 20) Riwaya