Posts

Showing posts with the label englisholevelexam

English Examination for Form Four| Pre Necta 3

Image
Endapo Unataka Kufanya Mtihani Huu ili Usahihishwe na Mwalimu Makoba, Zingatia Mambo Haya: Mtu yeyote na kokote aliko anaruhusiwa kufanya mtihani huu. Fanya mtihani huu kwa kutumia aina yoyote ya karatasi. Ukimaliza, piga picha karatasi hizo kisha zitume WhatsApp kwenye namba ya Mwalimu Makoba, 0754 89 53 21. Subiri mtihani wako usahihishwe, Urudishiwe na ufanyiwe masahihisho. Gharama ya mtihani huu ni shilingi 2,000 (elfu mbili) tu. Namba za malipo ni: M – Pesa 0754 89 53 21 na Tigo pesa 0653 25 05 66 “Kwa kuwa lengo la mtihani huu ni kutaka kujua uwezo na mapungufu ya mwanafunzi ili aweze kupewa mbinu mbadala za kumsaidia kufaulu mtihani wake wa mwisho, kuangalizia majibu hakuna faida yoyote kwani lengo la mtihani si kubaini nani atakuwa wa kwanza na yupi atakuwa wa mwisho!” Mwalimu Makoba| Mwalimu wa Waalimu na Wanafunzi Sasa fanya mtihani wako... SECTION A (10 Marks) COMPREHENSION AND SUMMARY 1.  Read the passage below carefully and the

English Form One Annual Examination| Nov 2017| Past Papers

Image
Paper Created by Diodonne Familia Instructions 1.    This paper consists of sections A, B, C. 2.    Answer all questions. 3.    Cellular phones and calculators are not allowed in the examination room. 4.    Read the instruction carefully before attempting the questions. SECTION A 1.    Read and answer the following questions. I am Vaileth Paschal. I study at Bahari Beach High School . I am in form one. I wake up at 6.00 a.m everyday. Then, I brush my teeth. I take two minutes. At 6.15 a.m. I take breakfast which comprises tea and boiled cassava. Next I put on my school uniform and leave home for school at 6.30 a.m. the school is not very far from home. Thus, it takes me fifteen minutes to reach my area. I spend a quarter an hour doing cleanless. At 7.00 am. I go to the assembly ground where inspections take place. Dirty students are ussually punished. Lessons begin at 7.30 am on Monday, the first lesson is mathematics. At 10.00 am. I go out of the class

English Pre Necta| 20 Oct 2017

Image
Maelekezo ya mtihani huu i.              Jibu maswali yote. ii.             Usifanye udanganyifu katika mtihani huu. Lengo la mtihani siyo kuuona uwezo wako wa kupata A, bali kutambua kipi kinachokusumbua katika somo hili ili uweze kusaidiwa. Jinsi ya kufanya mtihani huu wa online na usahihishaji wake -     Andika majibu yako katika karatasi yoyote utakayoona inafaa kujibia. - Ukimaliza kufanya mtihani, piga picha majibu yako katika karatasi zote ulizotumia kisha tuma picha hizo kwa njia ya WhatsApp kwenda namba 0754 89 53 21 ili ziweze kusahihishwa - Karatasi zitakazosahihishwa ni zile zitakazokuwa zimelipiwa kiasi cha shilingi 1,000 (elfu moja). Namba za malipo ni MPESA 0754 89 53 21 na TIGO PESA 0653 25 05 66. Hata hivyo kama huna uwezo kabisa wa kulipia gharama hiyo, unashauriwa ufanye mtihani huu kisha umpatie mwalimu yeyote aliyekaribu nawe asahihishe kazi yako. Kwa kuwa kiwango cha malipo ni kidogo sana, ni vizuri zaidi kama utasahihishwa na timu yetu. - Kwa k

English Examination for Form Four| Pre-Necta| Jan 2018

Image
JINSI YA KUFANYA MTIHANI HUU Mtu yeyote na kokote aliko anaruhusiwa kufanya mtihani huu. Fanya mtihani huu kwa kutumia aina yoyote ya karatasi. Ukimaliza, piga picha karatasi hizo kisha zitume WhatsApp kwenye namba ya Mwalimu Makoba - 0754 89 53 21. Subiri mtihani wako usahihishwe, Urudishiwe na ufanyiwe masahihisho. Gharama ya mtihani huu ni shilingi 2,000 (elfu mbili) tu. Namba za malipo ni: M – Pesa 0754 89 53 21 na Tigo pesa 0653 25 05 66 “Kwa kuwa lengo la mtihani huu ni kutaka kujua uwezo na mapungufu ya mwanafunzi ili aweze kupewa mbinu mbadala za kumsaidia kufaulu mtihani wake wa mwisho, kuangalizia majibu hakuna faida yoyote kwani lengo la mtihani si kubaini nani atakuwa wa kwanza na yupi atakuwa wa mwisho!” Mwalimu Makoba - Mwalimu wa Ushindi! Unataka kufanya mtihani huu na hujaelewa taratibu zake? Wasiliana na Mwalimu Makoba kwa 0754 89 53 21. Sasa fanya mtihani wako. SECTION A (10 Marks) 1.    Read the passage below carefully and summarise it